Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #101
Unyakuo utatokea miaka saba kabla ya tukio la kila jicho kumuona. Taifa la Israel litapewa fursa ya mwisho (wiki ya 50 katika unabii wa Daniel maana tayari walikamilisha majuma 49, juma/wiki moja ni miaka saba kinabii).Unyakuo wa kwenda wapi? Si inapaswa kuwa kila jicho litamuona?
Kanisa linanyakuliwa na kuepushwa na mapigo ya miaka mitatu na nusu ya pili ndani ya ile miaka saba kama Nuhu alivyoepushwa na gharika. Miaka mitatu na nusu ya kwanza itakuwa amani huku mpinga kristo akitawala.