Hahahahah movie zinakuchanganya
Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Kuna watu wanadhani hizi ni stories ila kiuhalisia Kwa wafuatiliaji wa haya mambo , huu ni wakati wa hatari sana tunaishi , hizi zama ni za mwisho
Hata wale waovu wa kule World economic forum huwa wanatoka mambo mengi sana na yanayokuja kutokea ,
Kila kinachoongolewa world economic forum nawashauri waingie hata YouTube kuangalia vile vikao vyao na wachukue note book waandike hizo predictions Halafu wanaone kama hazitakuja kutokea
Hata covid mwaka 2019 hao watu walisema soon itatokea
Hivi vikao vinavyoendelea wanasema kuna global risks ambazo soon zitaikumba dunia na kusababisha maafa sana
Moja wapo ni hiyo cyber attacks , kwamba itatokea mass cyber attacks za kuzima mifumo ya mawasiliano , benki na miundo mbinu + vifaa vinayotegemea mfumo wa kielektroniki
Kuna risk pia ya mabadiliko ya hali ya hewa ambayo ni ukame wa kutisha ,majanga ya mafuriko nk
Kuna risk ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na mataifa kwa mataifa , hasa mwaka huu ,na hii itachangiwa na machafuko ya kisiasa maana wanasema kuna nchi nyingi zina uchaguzi mwaka huu
Pia kuna risk ya Artificial intelligence ambayo itasababisha vitu kama ukosefu wa ajira uliokithiri + lack of opportunities Kwa watu na hivyo umasikini zaidi + uhalifu
Pia kuna risk ya kutokea magonjwa ya kutisha yenye uwezo wa kusambaza kasi duniani na kusababisha maangamizi kwa watu wengi moja ya huo ugonjwa wanasema kuna risk ya kutokea mwaka huu , wanauiita "Disease X"
So hii kitu ni real guys
Fuatilieni vikao vya world economic forum vinavyoendelea huko Davos