Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Mwaka gani? Mkuu, tukifika 2033 ni bahati. Hiki kitu kiko karibu mno.
Ofcourse ni karibu sana, possibility kubwa iko mwaka 2048 ila margin of error ni plus or minus 20 years.
 
Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
Sababu ya kutokea hilo ni nini ?
 
Unaweza kuthibitisha hili ?
Baada ya unyakuo, possibly between 2028 mpaka 2068, kutakuwa na miaka 7 kisha baada ya hapo kutakuwa na miaka 1000 ya utawala wa Yesu Kristo hapa duniani na kisha kuna kipindi kitakachofuata ambacho hakijatajwa kitakuwa cha muda gani. Baada ya hapo maisha ya duniani yataisha.

Kwahiyo upo sahihi, bado kuna miaka kadhaa ya maisha ya duniani kuwepo.
 
Hiyo miaka uliyotaja ya unyakua umetumia vigezo gani mpaka ukaitaja hiyo na sio mingine ?
 
Yesu alisema taifa la Israel likichipuka basi kizazi hicho hakitapita kabla unyakuo haujatokea (Mathayo 24). Israel ilichipuka mwaka 1948. Miaka 100 later ni 2048. Kizazi kimoja ni miaka mia.

Sasa ukiangalia struggles za kuanzisha taifa la Israel zilianza karibu miaka 20 kabla ya 1948 na settlement ilitokea miaka 20 later (mwaka 1968 baada ya six days war ya mwaka 1967).

Ndio maana tunaweka margin of error ya miaka ishirini kwenye ile 2048.
 
Kwa baadhi ya watu wanaamini hii Israel ya sasa yaani hawa Ashkenazi Jews hawana uhusiano wowote na wale wa kwenye maandiko ya biblia, kwani hawa ni wazungu kutoka Ulaya ila wale wa kale hawakuwa na asili hiyo kutoka Ulaya magharibi.

Mathanzua
 
Kama hawa sio wayahudi basi muda utakuwa bado sana mpaka hao wayahudi wenyewe wafufuke huko walipofia.

Kinyume na hapo, kama hawa ndio wenyewe basi muda unaelekea kuisha. Either way, tunapaswa kuwa tayari muda wote.
 
Hahahahah movie zinakuchanganya

Anyway kwa kuwa tuko jukwaa takatifu tuendelee kuheshima hoja

Na Mimi nina suala langu wanasema ipo siku umeme utakatika ghafla na internet duniani kote je ni kweli na nini kitasababisha power ku off ghafla
E M P ikifyatuka umeme unakata eaaasy
 
Wajanja kuepuka hizo ajari za vyombo na mitambo, tunakuletea AI, in the next 10 to 20 year, kuendesha chombo itakuwa historia na ni mapenzi ya mtu tu kama Leo kuendesha mkokoteni wa farasi au punda.
 
Itakuwa jambo jema, angalau uhai wa watu utunzwe. Lakini kubwa zaidi ni kuwa tayari kuondoka katika unyakuo.
 
Back
Top Bottom