Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

Wanajuaje kama unaishi nao
Kutokana na matatizo ya mke wangu hayakua kificho, pia nilipokua kulikua na watafutaji mali kale kwa vile tulikua na ukaribu walinishirikisha mambo yao hasa baada ya kujua pia nilikua najua hivyo kwa kiasi tu kama ilivyo hapa mikasa kusimuliana ni moja ya sehemu za maisha hasa ya sisi vijana
 
Nashkuru yameisha ila wamebaki wale wema wenye dini sasa tumekua kama ndugu [emoji1][emoji1] inafurahisha sana wengi wanaonizunguka huwa wanashangaa sana nnavyoishi nao tofauti sana na inavyozoeleka imefanya funzo kujua aina hii ni tofauti sana na story tulizo zoea kuwahusu

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Ni sawa mkuu lakini ushauri wangu hakuna urafiki wa kudumu baina ya mwanadamu na shetani unless uniambie hao wema wanakufaidisha kitu kipi.....hawaclaim kuchinjiwa damu, kuwekewa manukato na ubani, kutekelezewa matakwa fulani au au?!...
 
Nimeanza kukufatilia tangu unaanza kujibu swali la kwanza kwa jamaa huyo anayekuuliza maswali, ubarikiwe sana, kuna elimu nimeipata hapa aisee, nilichopenda huchoki kujibu, aisee Mungu akuzidishie kwa kila lenye heri utalofanya, ahsante sana

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nashukuru mkuu wangu, nashukuru kwa kuniombea mema..
 
Naomba utakapoanzisha hio thread uni tag pia mkuu hope hutosahau ID yangu.

Nadhani maswali mengi takuuliza huko, maana kila nikiona maswali yameisha baadae nikiwa offline napata swali lingine tena [emoji28] anyway,, naomba usisahau kutufungulia hio thread pia thanks sana kwa muda wako.
hahaa nashukuru mkuu....siwezi kusahau Injili ya Gheto shukran pia kwa muda wako..
 
Habari za asubuhi wakuu.. Naimani kila mtu yuko powa na familia yake siku ya leo na kwa mabachelor mmeamka salama. Kwa washabiki wa mpira tupeane pole maana Tunisia si level yetu, hakika walistahili kutufunga. Naendelea na stori Kama nilivyowaahidi.....
Tuliambiwa ile dawa tuoge asubuhi na usiku kabla ya kulala na kunuia maneno flani ya kumfukuzia yule kiumbe. Ile laki mbili alivyokuwa nayo dogo baba aliamua kumpa yule shekhe (sijui aliitumia au aliichoma moto kama alivyodai?🤷 Vile vitu vingine shekhe alivifuata nyumbani ili akavichome Moto pia). Sasa ilipofika usiku wa ile siku mimi na mdogo wangu wote tunaogopa kwenda kulala chumbani. Hiyo ni j'tatu na chuo sikwenda kwa hofu ya lile dude kunitokea chuoni nikiwa peke yangu, pamoja na kupewa Ile dawa na kile kisomo bado nilikuwa nimejawa na hofu so nilitaka kuwa karibu na baba maana yeye ndio alikuwa anaonekana jasiri kuliko wote. Mama yeye baada ya kusimuliwa na mzee aliyosema yule shekhe alibaki kulia na kuomba tu huku akimwomba (kumlazimisha mzee atupeleke kwa Kakobe). Usiku ilipofika baba akaamua kulala na sisi chumbani, kwakweli usingizi haukuja, mapigo ya moyo yapo juu, nikimwangalia dogo nae dogo ananikodolea macho tukiwa kitandani mzee kalala chini, pembeni ya kitanda. Mida ya Kama saa saba sijui saa sita (sikumbuki muda sahihi) usingizi ukatupitia, nakuja kushtuka.....
Mimi suala langu ilikuwa ni jini mahaba, nilikaa nalo kama miaka mitatu' ingawa mwaka wa kwanza nilikuwa nikijua ni ndoto za kawaida. Nime reply hapa maana na mimi niliogea dawa siku saba hili tatizo nikaondokana nalo ingawa nilipata vitisho vya kuogofya kidogo kabla ya kuagwa.
 
Nashkuru mkuu,
Vipi kuhusu hili: niliskia kuna maneno (swala) ukitamka mara elfu moja kama sikosei unaweza kumuona jini


Usijali kabisa.

Kiuhalisia mkuu elimu iliyopokelewa imeingiliwa pia na uzushi na uongo mwingi sana....na wengi katika washirikina wamepenyeza mikono yao katika hilo....na nikuhakikishie hicho ulichokisema ukifuatilia wala sio dua ni uchawi na ushirikina.

Utakuta unaambiwa utaje jina la jini fulani mara elfu moja ewe fulani njoo au ukapewa ubani uwashe kwenye chumba kitupu kabisa mara uwashe mishumaa myekundu tena muda maalum usiku wa manane na mengineyo ya ajabu ajabu.

Hizi si dua bali ni uchawi na ushirikina na wanaofanya wameshajua wao aakhirah hawana fungu lolote bali majanga yao yanawafaidisha duniani tu na mwisho wao huwa mbaya sana

ni hivyo mkuu..
 
Nimewahi ona jini kariakoo aisee sura yake haielezeki wallah, nilichokosea nilikuwa na mtoto tulivokuwa tunajitahidi kumwona na tulivo shtuka akapotea
Hahaah unaona! huyo alijidhihirisha ili umuone wala sio coincidence na pia hicho ulichokiona kisichoelezeka wala sio sura yake halisi aliyoumbiwa ni sura ya kujibadilisha na kujifananiza.
By the way kama nilivyosema huko nyuma katika sehemu wanazopenda mashetani ni masokoni...
 
ni sawa mkuu lakini ushauri wangu hakuna urafiki wa kudumu baina ya mwanadamu na shetani unless uniambie hao wema wanakufaidisha kitu kipi.....hawaclaim kuchinjiwa damu, kuwekewa manukato na ubani, kutekelezewa matakwa fulani au au?!...
Kwanza walikua wageni hawajawahi kushirikiana na wanadamu,walikuja kunisaidia tatizo la mke wangu liliisha baada ya kusumbuka sana kwa wataalamu mbali mbali na watu wa dini bila mafanikio,baada ya tatizo kuisha tukawa kama marafiki tu wanapenda kula vyakula ambavyo ni vya kawaida soda,biskuit,wali,ugali nk hawajawahi kuhitaji manukato wala kuhitaji chochote niwape,pia huwa nakauli kwao hii ndio inayofanya watu washangae utofauti huo kwani wakifanya jambo sijaliafiki nnauwezo wa kuwakosoa na wakaomba radhi na wao pia nikiwakosea huwa nawaomba radhi nimewafundisha vitu vingi pesa za huku hii sh hii na hii ni hii,kutumia simu kucheza games nk na upandaji wao mwanzo ilikua tabu kwa mke wangu maana atadondoka anachoka sana baadae wakafanyaje ila imekua tu nikiita kwa jina tu anakuja bila kudondoka au kuonyesha dalili yoyote hata tuwe kwa watu wengi mtu hawezi jua kwa wakati huo siongei na mke wangu yanafikirisha sana,sisi christian wao islamic hawajawahi kumzuia ibada mke wangu yoyote sana sana wao huwa wananikumbusha sana asiache ibada wana kipindi chao cha toba kila kikifika huwa hawafanyi lolote
 
huyo hiyo sura ya kiarabu ni amejibadilisha tu sura yake ya asili huwezi kumuona.....hayo mambo yapo..
Binadamu ana sura nzuri zaidi kuliko jini, na majini wenyewe wanalijua hilo
kwa kukazia mkuu jini hawezi kujibadilisha umbo la binadamu 100% lazma kuna kitu atakuwa hajakamilisha na nilipata kuskia hawawezi kudumu kwa muda mrefu kabla hawajarudi kwenye umbo la asili.....na kwa nilivyowastudy hawana guts za kuangaliana na mtu macho kwa macho kama ukimkazia! wana kama kaaibu fulani...
 
Kwanza walikua wageni hawajawahi kushirikiana na wanadamu,walikuja kunisaidia tatizo la mke wangu liliisha baada ya kusumbuka sana kwa wataalamu mbali mbali na watu wa dini bila mafanikio,baada ya tatizo kuisha tukawa kama marafiki tu wanapenda kula vyakula ambavyo ni vya kawaida soda,biskuit,wali,ugali nk hawajawahi kuhitaji manukato wala kuhitaji chochote niwape,pia huwa nakauli kwao hii ndio inayofanya watu washangae utofauti huo kwani wakifanya jambo sijaliafiki nnauwezo wa kuwakosoa na wakaomba radhi na wao pia nikiwakosea huwa nawaomba radhi nimewafundisha vitu vingi pesa za huku hii sh hii na hii ni hii,kutumia simu kucheza games nk na upandaji wao mwanzo ilikua tabu kwa mke wangu maana atadondoka anachoka sana baadae wakafanyaje ila imekua tu nikiita kwa jina tu anakuja bila kudondoka au kuonyesha dalili yoyote hata tuwe kwa watu wengi mtu hawezi jua kwa wakati huo siongei na mke wangu yanafikirisha sana,sisi christian wao islamic hawajawahi kumzuia ibada mke wangu yoyote sana sana wao huwa wananikumbusha sana asiache ibada wana kipindi chao cha toba kila kikifika huwa hawafanyi lolote

Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
na hiyo ndio trick wanayoitumia mkuu na nikuweke tu wazi kwanza kitendo cha kumuingilia mkeo na kumpanda kichwani ni dhambi kubwa sana na hawana ruhusa ya kufanya hivyo......na ukimuona jini amepanda kichwani kwa mtu tayari ni jini muovu na ni shetani wala hutogundua leo madhara yao....na believe me or not.

Hakuna viumbe waongo kama mashetani hauna uhakika kama ni waislamu zaidi hao wana akili kukuzidi usiwachukulie kama mazezeta fulani mkuu hao wana uwezo mkubwa....na mwisho nikuhakikishie wana mission maalum kwenye familia yako na utakuja kuijua wakati muda hauruhusu kwa kukazia nina uhakika asilimia waliokuwa wanamdondosha mwanzo na kumpa maumivu makali ya kichwa ndo haohao wanajifanya wema sasa hivi kuja tu wakiitwa na wewe bila kumuumiza huku tayari wamemfanya KITI wao na wewe ukiamini wao ni wema.

Ushauri wangu tafuta tiba uwaondoe hao viumbe kwa njia ya halali na dawa za asili za kawaida zisizo za kishirikina.....hapo kichwani kwa shemeji yetu sio mahali pao pa kuishi.

Hawajaumbwa kuja kuishi hapo bali nakuhakikishia tena wana mission yao na wataikamilisha wakati ambao wewe hauna muda wa kubadili matokeo.

samahani kwa kutofautiana na wewe kwa hili mkuu..
shukran..
 
Hahahahaha haa fake ID hiyo mkuu..... Haswa ndio nisomayo hio mkuu pamoja na bismillah ladhy layadhuru.......... mara 3 ila nikisha mie huwapulizia. Hakika dua za kinga nzuri sana
aisee nimekaa nawasoma tu muda mrefu na huyo jamaa mwenye jina la kombora la iran..hapa tu nimewakubali naona mna makombora ya kutosha........shaiin fil ardh wala fisamai.....
hongera sana
 
Back
Top Bottom