the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,102
- 355
Mbwichichi story yako kali sana. Umeharakisha sana naona kuna vitu umeviruka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai!Nimewahi ona jini kariakoo aisee sura yake haielezeki wallah, nilichokosea nilikuwa na mtoto tulivokuwa tunajitahidi kumwona na tulivo shtuka akapotea
Kutokana na matatizo ya mke wangu hayakua kificho, pia nilipokua kulikua na watafutaji mali kale kwa vile tulikua na ukaribu walinishirikisha mambo yao hasa baada ya kujua pia nilikua najua hivyo kwa kiasi tu kama ilivyo hapa mikasa kusimuliana ni moja ya sehemu za maisha hasa ya sisi vijanaWanajuaje kama unaishi nao
Ni sawa mkuu lakini ushauri wangu hakuna urafiki wa kudumu baina ya mwanadamu na shetani unless uniambie hao wema wanakufaidisha kitu kipi.....hawaclaim kuchinjiwa damu, kuwekewa manukato na ubani, kutekelezewa matakwa fulani au au?!...Nashkuru yameisha ila wamebaki wale wema wenye dini sasa tumekua kama ndugu [emoji1][emoji1] inafurahisha sana wengi wanaonizunguka huwa wanashangaa sana nnavyoishi nao tofauti sana na inavyozoeleka imefanya funzo kujua aina hii ni tofauti sana na story tulizo zoea kuwahusu
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Nimekosa nini mkuu?!....wapi nilipoharibu!?...nieleweshe tafadhali kama ni uhalisia nitanyamaza na sitosema tena..Mkuu umeanza kuharibu uzi, nakushauri ukae kimya kidogo.
Nashukuru mkuu wangu, nashukuru kwa kuniombea mema..Nimeanza kukufatilia tangu unaanza kujibu swali la kwanza kwa jamaa huyo anayekuuliza maswali, ubarikiwe sana, kuna elimu nimeipata hapa aisee, nilichopenda huchoki kujibu, aisee Mungu akuzidishie kwa kila lenye heri utalofanya, ahsante sana
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
hahaa nashukuru mkuu....siwezi kusahau Injili ya Gheto shukran pia kwa muda wako..Naomba utakapoanzisha hio thread uni tag pia mkuu hope hutosahau ID yangu.
Nadhani maswali mengi takuuliza huko, maana kila nikiona maswali yameisha baadae nikiwa offline napata swali lingine tena [emoji28] anyway,, naomba usisahau kutufungulia hio thread pia thanks sana kwa muda wako.
Mimi suala langu ilikuwa ni jini mahaba, nilikaa nalo kama miaka mitatu' ingawa mwaka wa kwanza nilikuwa nikijua ni ndoto za kawaida. Nime reply hapa maana na mimi niliogea dawa siku saba hili tatizo nikaondokana nalo ingawa nilipata vitisho vya kuogofya kidogo kabla ya kuagwa.Habari za asubuhi wakuu.. Naimani kila mtu yuko powa na familia yake siku ya leo na kwa mabachelor mmeamka salama. Kwa washabiki wa mpira tupeane pole maana Tunisia si level yetu, hakika walistahili kutufunga. Naendelea na stori Kama nilivyowaahidi.....
Tuliambiwa ile dawa tuoge asubuhi na usiku kabla ya kulala na kunuia maneno flani ya kumfukuzia yule kiumbe. Ile laki mbili alivyokuwa nayo dogo baba aliamua kumpa yule shekhe (sijui aliitumia au aliichoma moto kama alivyodai?🤷 Vile vitu vingine shekhe alivifuata nyumbani ili akavichome Moto pia). Sasa ilipofika usiku wa ile siku mimi na mdogo wangu wote tunaogopa kwenda kulala chumbani. Hiyo ni j'tatu na chuo sikwenda kwa hofu ya lile dude kunitokea chuoni nikiwa peke yangu, pamoja na kupewa Ile dawa na kile kisomo bado nilikuwa nimejawa na hofu so nilitaka kuwa karibu na baba maana yeye ndio alikuwa anaonekana jasiri kuliko wote. Mama yeye baada ya kusimuliwa na mzee aliyosema yule shekhe alibaki kulia na kuomba tu huku akimwomba (kumlazimisha mzee atupeleke kwa Kakobe). Usiku ilipofika baba akaamua kulala na sisi chumbani, kwakweli usingizi haukuja, mapigo ya moyo yapo juu, nikimwangalia dogo nae dogo ananikodolea macho tukiwa kitandani mzee kalala chini, pembeni ya kitanda. Mida ya Kama saa saba sijui saa sita (sikumbuki muda sahihi) usingizi ukatupitia, nakuja kushtuka.....
Nashkuru mkuu,
Vipi kuhusu hili: niliskia kuna maneno (swala) ukitamka mara elfu moja kama sikosei unaweza kumuona jini
Hahaah unaona! huyo alijidhihirisha ili umuone wala sio coincidence na pia hicho ulichokiona kisichoelezeka wala sio sura yake halisi aliyoumbiwa ni sura ya kujibadilisha na kujifananiza.Nimewahi ona jini kariakoo aisee sura yake haielezeki wallah, nilichokosea nilikuwa na mtoto tulivokuwa tunajitahidi kumwona na tulivo shtuka akapotea
Tafuta uzi humu kuna jamaa ameunganisha zote kwa mtiririko nafikiri anaitwa HeisenbergJamani nimeishia wanataka kuchoma maiti wakawa kama wamepagawa ameendelea page ipi na ipi maana duu page ya 59 nashindwa kuperuzi zote. Plz kwa atakayeweza nilistia
Mkuu umeanza kuharibu uzi, nakushauri ukae kimya kidogo.
Sio kahawa ni kweliHizo ni story za kwenye gahawa
Kwanza walikua wageni hawajawahi kushirikiana na wanadamu,walikuja kunisaidia tatizo la mke wangu liliisha baada ya kusumbuka sana kwa wataalamu mbali mbali na watu wa dini bila mafanikio,baada ya tatizo kuisha tukawa kama marafiki tu wanapenda kula vyakula ambavyo ni vya kawaida soda,biskuit,wali,ugali nk hawajawahi kuhitaji manukato wala kuhitaji chochote niwape,pia huwa nakauli kwao hii ndio inayofanya watu washangae utofauti huo kwani wakifanya jambo sijaliafiki nnauwezo wa kuwakosoa na wakaomba radhi na wao pia nikiwakosea huwa nawaomba radhi nimewafundisha vitu vingi pesa za huku hii sh hii na hii ni hii,kutumia simu kucheza games nk na upandaji wao mwanzo ilikua tabu kwa mke wangu maana atadondoka anachoka sana baadae wakafanyaje ila imekua tu nikiita kwa jina tu anakuja bila kudondoka au kuonyesha dalili yoyote hata tuwe kwa watu wengi mtu hawezi jua kwa wakati huo siongei na mke wangu yanafikirisha sana,sisi christian wao islamic hawajawahi kumzuia ibada mke wangu yoyote sana sana wao huwa wananikumbusha sana asiache ibada wana kipindi chao cha toba kila kikifika huwa hawafanyi loloteni sawa mkuu lakini ushauri wangu hakuna urafiki wa kudumu baina ya mwanadamu na shetani unless uniambie hao wema wanakufaidisha kitu kipi.....hawaclaim kuchinjiwa damu, kuwekewa manukato na ubani, kutekelezewa matakwa fulani au au?!...
Binadamu ana sura nzuri zaidi kuliko jini, na majini wenyewe wanalijua hilohuyo hiyo sura ya kiarabu ni amejibadilisha tu sura yake ya asili huwezi kumuona.....hayo mambo yapo..
kwa kukazia mkuu jini hawezi kujibadilisha umbo la binadamu 100% lazma kuna kitu atakuwa hajakamilisha na nilipata kuskia hawawezi kudumu kwa muda mrefu kabla hawajarudi kwenye umbo la asili.....na kwa nilivyowastudy hawana guts za kuangaliana na mtu macho kwa macho kama ukimkazia! wana kama kaaibu fulani...
na hiyo ndio trick wanayoitumia mkuu na nikuweke tu wazi kwanza kitendo cha kumuingilia mkeo na kumpanda kichwani ni dhambi kubwa sana na hawana ruhusa ya kufanya hivyo......na ukimuona jini amepanda kichwani kwa mtu tayari ni jini muovu na ni shetani wala hutogundua leo madhara yao....na believe me or not.Kwanza walikua wageni hawajawahi kushirikiana na wanadamu,walikuja kunisaidia tatizo la mke wangu liliisha baada ya kusumbuka sana kwa wataalamu mbali mbali na watu wa dini bila mafanikio,baada ya tatizo kuisha tukawa kama marafiki tu wanapenda kula vyakula ambavyo ni vya kawaida soda,biskuit,wali,ugali nk hawajawahi kuhitaji manukato wala kuhitaji chochote niwape,pia huwa nakauli kwao hii ndio inayofanya watu washangae utofauti huo kwani wakifanya jambo sijaliafiki nnauwezo wa kuwakosoa na wakaomba radhi na wao pia nikiwakosea huwa nawaomba radhi nimewafundisha vitu vingi pesa za huku hii sh hii na hii ni hii,kutumia simu kucheza games nk na upandaji wao mwanzo ilikua tabu kwa mke wangu maana atadondoka anachoka sana baadae wakafanyaje ila imekua tu nikiita kwa jina tu anakuja bila kudondoka au kuonyesha dalili yoyote hata tuwe kwa watu wengi mtu hawezi jua kwa wakati huo siongei na mke wangu yanafikirisha sana,sisi christian wao islamic hawajawahi kumzuia ibada mke wangu yoyote sana sana wao huwa wananikumbusha sana asiache ibada wana kipindi chao cha toba kila kikifika huwa hawafanyi lolote
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
aisee nimekaa nawasoma tu muda mrefu na huyo jamaa mwenye jina la kombora la iran..hapa tu nimewakubali naona mna makombora ya kutosha........shaiin fil ardh wala fisamai.....Hahahahaha haa fake ID hiyo mkuu..... Haswa ndio nisomayo hio mkuu pamoja na bismillah ladhy layadhuru.......... mara 3 ila nikisha mie huwapulizia. Hakika dua za kinga nzuri sana
ni kweli mkuu wanadamu tumeumbwa kwa umbile zuri sana..binadamu ana sura nzuri zaidi kuliko jini, na majini wenyewe wanalijua hilo
Hahahaa mkuu unaijua habari ya kweli ya maisha ya julaybiib!?...aisee nimekaa nawasoma tu muda mrefu na huyo jamaa mwenye jina la kombora la iran..hapa tu nimewakubali naona mna makombora ya kutosha........shaiin fil ardh wala fisamai.....
hongera sana