Tukio la Ubakaji shuleni: Wazazi muwe Makini na watoto mnaopeleka shule za Bweni

Huyo mwamba namjua saana ,mke wake mweupe hivi yeye ni mweusi.aliwahi kufungwa Kwa hiyo kesi ya ubakaji ila alitoka baada ya muda mfupi.hizi Hela tuziache tuu,pia mtoto wake wa kiume alikuwa ni mwalimu hapo.
 
Basi ndio huyohuyo.
Ni mfupi hivi,
Sijui kama bado anatumikia kifungo
 
Write your reply...swali ambalo nimebakia nalo kicwani ni je ulifanikiwa kugundua ni kwa nini huyo binti aliyebakwa alikuwa mtu wa kulia na kuumwa na pia hakuwahi kuwa na furaha kabla ya kubakwa je alikuwa na tatizo gani jingine lililo mpelekea yeye kuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu?
 
Mkurugenzi alikuwa na tabia ya kumlazimisha tendo sema hakuwahi kufanikiwa kutenda. Na alishawahi kumripoti kwa mkewe lakini mkewe alimpuuza au ni njama moja na mumewe
 
Private school hoyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…