Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 524
- 1,093
Hakuna mgalatia mla tigo hebu rudini kwa dini yako😂Haya nimechagua mimi ni mgalatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mgalatia mla tigo hebu rudini kwa dini yako😂Haya nimechagua mimi ni mgalatia
Umesahau papa francis ameruhusu wagalatia muoane na ndoa za jinsia moja zibarikiwe kanisani?Hakuna mgalatia mla tigo hebu rudini kwa dini yako😂
Papa sio biblia na sio MunguUmesahau papa francis ameruhusu wagalatia muoane na ndoa za jinsia moja zibarikiwe kanisani?
Wewe unaijua biblia kuliko Papa alieruhusu ushoga?Papa sio biblia na sio Mungu
Ninamzidi kuijua, yeye biblia yake inaruhusu ushoga, lakini ya kwangu inasema wafiraji wote wataadhibiwaWewe unaijua biblia kuliko Papa alieruhusu ushoga?
Acha kujidanganya duniani hapa kila kitu kipo wazi wakristo hamna utaratibubwa kufunga duniani kote especially hiyo kwaresma ndio hamna mtu mwenye kuiheshimu , hata hao waliowaletea dini hawafungi kwaresma nimezunguka pande zote za dunia , hata hao wazungu wenu wanaiheshimu na kuijua ramadhani na hawaifahamu kabisa kwaresmaUnachekesha kweli watu wanaenda saba kavu nn masaa 12??na wapo kibao na wala hawana kelele
Ungekua unaijua biblia kuliko papa anaeruhusu ushoga wewe ndo ungekua papa ila yeye ndo amekua papa kwasababu anaijua biblia na anaujua ukristo kuliko wote na ndo maana kaunga mkono mashoga na akavaa hadi kimsalaba cha upindeNinamzidi kuijua, yeye biblia yake inaruhusu ushoga, lakini ya kwangu inasema wafiraji wote wataadhibiwa
Hakuna anayelazimishwa ndio maana utakuta ikifika ramadhani hata baadhi ya wakristo wanafunga kuwasindikiza rafiki zao waislamu , ita kubadili ratiba au chochote ila tumewekewa utaratibu kwenye dini na tunaufuata kwa heshima kubwa duniani kote from europe to united states wanajua na kuheshimu kwamba sasa ni mwrzi wa ramadhani ila kwaresma hawaijuiSasa waislamu hawa wanafunga au kubadili ratiba ya kula tyuuh? Kwaresma haiheshimiwi na nani? Au unataka na Christians waanze kufurusha wanaokula hadharan ndo iwepo heshima? Poleeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo maandiko Wala hayawahusu wakristoKitabu Cha kweli Cha Mungu asiyepiganiwa na wanadamu Biblia takatifu inaeleza vizuri kuhusu kufunga hii hapa Kwa ufupi.
Mathayo 6:16
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
Mathayo 6:17
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
Mathayo 6:18
ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Unaongea nini mkuuUnachekesha kweli watu wanaenda saba kavu nn masaa 12??na wapo kibao na wala hawana kelele
Kuna ratiba mkuu. Hata ibada inakwenda kwa muda.Nilimsikia shehe mmoja anasema muda wa mwisho wa kula daku ni saa 04:50AM.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kupitia hii comment imenifanya nielewe kuwa huna nia ya kujifunza bali kubishana wakati mini sina muda huo wa kubishana. BTW amini unachoamini maana hata Biblia imetupa hiyari hiyo.Maelezo mengi lakini sijaona namna mnavyofunga kwa kifupi wakristo hawafungi kabisa wanaacha kula chakula kimoja tu kila mtu anachagua chakula chake cha kufunga mwingine anafunga kula choroko, mwingine anafunga kula magimbi, mwingine anakunywa chai bila sukari hapo ndo wanajihesabia wamefunga.
Mchana wanakunja sura na kujionyesha wamefunga, usiku wanakula kama fukusitujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo.
Funga ya mkristo akila saa moja jioni ni mpaka kesho tena saa moja jioni hakuna kunywa maji wala kula, na hata mle hadharani wala hapagawi au kulalamika mnamuingiza tamaa.
Upande wa pili ukila saa moja jioni unaweza kutupia tena mida ya saa nne flani hivi kabla hujalala, hapo bado tena kuna daku la saa kumi alfajiri, ni kama vile ratiba ya lunch inahamia alfajiri na ratiba ya chai kabla ya kulala, cha kushangaza baadhi yao hata wakipiga daku lakini bado wakiona mtu anakula hadharani tayari kuna roho ya kutamani inaingia utasikia wakilalamika "huoni aibu kula hadharani", Zanzibar wameenda mbali zaidi ukikutwa unashushiwa kipigo.
Wewe papai kweli,unadhani hatufungi au sababu tunafunga na hatukwambii kama wewe unavyoshinda umelegea siku nzima na ulikurupuka kufukia ugali saa 5:00 alfajiri???Embu tuonyeshe mkristo mmoja tu anayefunga hivyo? Mnavyopenda kula tangu lini mkafunga wenyewe mnajijua kama dini imeshawapita pembeni dunia mmeiweka mbele kiufupi 99% ya wakristo hawafungi funga yao ni kula ila usishibe, ndio maana hata hiyo kwaresma haieshimiwi duniani kote kwasababu hawafungi
Pale unapofoka kwanini mtu anakula mbele yako,ndio tatizo lake.Sawa! Wewe kinachokuuma ni nini? Wewe siyo muislam, wewe ni mkristo! Kinachokuuma ni nini? Mambo ya waislam wewe yanakuhusu nini?
Mtu anayekula mchana anafunga vipi , mimi nimesoma catholic school na hakuna kitu unaweza kunidanganya half of my family are christians , na jamii iliyonizunguka ni christians naishi ndani na nje ya nchi ambako huku nilipo wote christians , mkristo akifunga ujue kuna shida imembana ila sijui kwaresma au nini hilo hapana hakuna utamaduni huoWewe papai kweli,unadhani hatufungi au sababu tunafunga na hatukwambii kama wewe unavyoshinda umelegea siku nzima na ulikurupuka kufukia ugali saa 5:00 alfajiri???
Ndio lengo la mfungo hilo kwa wakristo hatufungi ili tule pasaka kaka.Mtu anayekula mchana anafunga vipi , mimi nimesoma catholic school na hakuna kitu unaweza kunidanganya half of my family are christians , na jamii iliyonizunguka ni christians naishi ndani na nje ya nchi ambako huku nilipo wote christians , mkristo akifunga ujue kuna shida imembana ila sijui kwaresma au nini hilo hapana hakuna utamaduni huo
Cha ajabu tukifunga sisi waislamu mayeumia na kuona wivu ni nyie wakristo ajabu iliyoje embu angalia mnavyotuhusudu hadi huyu mlimbwende kashindwa kujizuiaNdio lengo la mfungo hilo kwa wakristo hatufungi ili tule pasaka kaka.
Ndio maana unaposema umefunga na unakasirikia wanaokula tunakushangaa,kwamba wanakuhusu nini wewe uko na Mungu wako!!!
Mimi nawezafunga hata manunuzi ya bando mwezi mzima,ili hela nitoe sadaka,nisile nyama mwezi mzima nakula mchicha tu.Mungu wa wakristo ni Mungu wa logic sio zuzu,lazima mpatane kwanza kabla hujaanza mfungo,sio unafunga sababu ni mwezi mtukufu😆😆.
Ndio yale ngono zinapungua mwezi huu ukiisha uchafu unaendelea.