Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Unachekesha kweli watu wanaenda saba kavu nn masaa 12??na wapo kibao na wala hawana kelele
Acha kujidanganya duniani hapa kila kitu kipo wazi wakristo hamna utaratibubwa kufunga duniani kote especially hiyo kwaresma ndio hamna mtu mwenye kuiheshimu , hata hao waliowaletea dini hawafungi kwaresma nimezunguka pande zote za dunia , hata hao wazungu wenu wanaiheshimu na kuijua ramadhani na hawaifahamu kabisa kwaresma
 
Ninamzidi kuijua, yeye biblia yake inaruhusu ushoga, lakini ya kwangu inasema wafiraji wote wataadhibiwa
Ungekua unaijua biblia kuliko papa anaeruhusu ushoga wewe ndo ungekua papa ila yeye ndo amekua papa kwasababu anaijua biblia na anaujua ukristo kuliko wote na ndo maana kaunga mkono mashoga na akavaa hadi kimsalaba cha upinde
 
Sasa waislamu hawa wanafunga au kubadili ratiba ya kula tyuuh? Kwaresma haiheshimiwi na nani? Au unataka na Christians waanze kufurusha wanaokula hadharan ndo iwepo heshima? Poleeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anayelazimishwa ndio maana utakuta ikifika ramadhani hata baadhi ya wakristo wanafunga kuwasindikiza rafiki zao waislamu , ita kubadili ratiba au chochote ila tumewekewa utaratibu kwenye dini na tunaufuata kwa heshima kubwa duniani kote from europe to united states wanajua na kuheshimu kwamba sasa ni mwrzi wa ramadhani ila kwaresma hawaijui
Na huu ujumbe wa ramadhani kutoka kwa raisi wa dunia na huyu mwingine ni mtangazaji maarufu southafrica
 
Attachments

  • Screenshot_20240313-105612_Instagram.jpg
    Screenshot_20240313-105612_Instagram.jpg
    487.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240320-072925_Facebook.jpg
    Screenshot_20240320-072925_Facebook.jpg
    125 KB · Views: 1
Kitabu Cha kweli Cha Mungu asiyepiganiwa na wanadamu Biblia takatifu inaeleza vizuri kuhusu kufunga hii hapa Kwa ufupi.
Mathayo 6:16
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

Mathayo 6:17
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;

Mathayo 6:18
ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Hayo maandiko Wala hayawahusu wakristo

Hapo Yesu alipokuwa anaongea hayo kulikuwa hakuna mkristo hata mmoja

Yesu amezaliwa amekuta Wana waisrael wanafunga tokea enzi na enzi na ndio anaoongea nao hapo

Na kama hayo mandiko yanakuhu wewe mkristo tuambie wewe unafunga vipi ?

Masaa 12
Masaa 24
Wiki mzima
Mwezi mzima
Siku 40
 
Dini haijawahi kuleta amani duniani bali dini imeleta upanga, chuki na utengano.
 
Maelezo mengi lakini sijaona namna mnavyofunga kwa kifupi wakristo hawafungi kabisa wanaacha kula chakula kimoja tu kila mtu anachagua chakula chake cha kufunga mwingine anafunga kula choroko, mwingine anafunga kula magimbi, mwingine anakunywa chai bila sukari hapo ndo wanajihesabia wamefunga.
Kupitia hii comment imenifanya nielewe kuwa huna nia ya kujifunza bali kubishana wakati mini sina muda huo wa kubishana. BTW amini unachoamini maana hata Biblia imetupa hiyari hiyo.
 
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :

Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo.

Funga ya mkristo akila saa moja jioni ni mpaka kesho tena saa moja jioni hakuna kunywa maji wala kula, na hata mle hadharani wala hapagawi au kulalamika mnamuingiza tamaa.

Upande wa pili ukila saa moja jioni unaweza kutupia tena mida ya saa nne flani hivi kabla hujalala, hapo bado tena kuna daku la saa kumi alfajiri, ni kama vile ratiba ya lunch inahamia alfajiri na ratiba ya chai kabla ya kulala, cha kushangaza baadhi yao hata wakipiga daku lakini bado wakiona mtu anakula hadharani tayari kuna roho ya kutamani inaingia utasikia wakilalamika "huoni aibu kula hadharani", Zanzibar wameenda mbali zaidi ukikutwa unashushiwa kipigo.
Mchana wanakunja sura na kujionyesha wamefunga, usiku wanakula kama fukusi

Haiwezekani saa 12 jioni mtu anafakamia mihogo, tende, uji viazi, mayai, tambi na kadhalika

Saa 2 usiku unamkuta anagonga msosi , saa nne anakula

Halafu anaamka usiku anakula msosi sahani nzima

Sasa huku kufunga au kubadili ratiba??? 😂😂
 
Embu tuonyeshe mkristo mmoja tu anayefunga hivyo? Mnavyopenda kula tangu lini mkafunga wenyewe mnajijua kama dini imeshawapita pembeni dunia mmeiweka mbele kiufupi 99% ya wakristo hawafungi funga yao ni kula ila usishibe, ndio maana hata hiyo kwaresma haieshimiwi duniani kote kwasababu hawafungi
Wewe papai kweli,unadhani hatufungi au sababu tunafunga na hatukwambii kama wewe unavyoshinda umelegea siku nzima na ulikurupuka kufukia ugali saa 5:00 alfajiri???
 
Sawa! Wewe kinachokuuma ni nini? Wewe siyo muislam, wewe ni mkristo! Kinachokuuma ni nini? Mambo ya waislam wewe yanakuhusu nini?
Pale unapofoka kwanini mtu anakula mbele yako,ndio tatizo lake.
 
Wewe papai kweli,unadhani hatufungi au sababu tunafunga na hatukwambii kama wewe unavyoshinda umelegea siku nzima na ulikurupuka kufukia ugali saa 5:00 alfajiri???
Mtu anayekula mchana anafunga vipi , mimi nimesoma catholic school na hakuna kitu unaweza kunidanganya half of my family are christians , na jamii iliyonizunguka ni christians naishi ndani na nje ya nchi ambako huku nilipo wote christians , mkristo akifunga ujue kuna shida imembana ila sijui kwaresma au nini hilo hapana hakuna utamaduni huo
 
Ndio lengo la mfungo hilo kwa wakristo hatufungi ili tule pasaka kaka.

Ndio maana unaposema umefunga na unakasirikia wanaokula tunakushangaa,kwamba wanakuhusu nini wewe uko na Mungu wako!!!

Mimi nawezafunga hata manunuzi ya bando mwezi mzima,ili hela nitoe sadaka,nisile nyama mwezi mzima nakula mchicha tu.Mungu wa wakristo ni Mungu wa logic sio zuzu,lazima mpatane kwanza kabla hujaanza mfungo,sio unafunga sababu ni mwezi mtukufu😆😆.
Ndio yale ngono zinapungua mwezi huu ukiisha uchafu unaendelea.
 
Cha ajabu tukifunga sisi waislamu mayeumia na kuona wivu ni nyie wakristo ajabu iliyoje embu angalia mnavyotuhusudu hadi huyu mlimbwende kashindwa kujizuia
 
Attachments

  • Screenshot_20240320-072925_Facebook.jpg
    Screenshot_20240320-072925_Facebook.jpg
    125 KB · Views: 1
Back
Top Bottom