Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

Ni mwendawazimu pekee anayeweza kuamini upotevu wa muda na rasilimali kufanya video ya dakika 60 inaweza kuinua utalii wa nchi! Nani aliyeodhinisha fedha kwa ajili ya huo mpango hovyo? Nani aliyepitishq njia hiyo ya kutangaza utalii kwamba ndiyo njia bora? Gharama zake nani kapitisha hata kama no fedha za mkopo/msaada, je zisingeweza kupata matumizi bora zaidi?
Nadhani wahusika wote wafikishwe mahakamani wahojiwe.
 
Imagine huyu ndiye alikuwa anasaka teuzi sijui ubunge 🤣🤣🤣 useless brain
 
Nanakazia

"Tanzania ndo nchi peke inayomshukuru rais sanaaaaaaaaaa balada ya kumkumbusha wajibu wake Kwa watanzania"

Na hi ni ishara kubwaa Sana ya Umasikini wa vitu na fikra za viongozi wetu na inapunguza uwajibikaji Kwa wakuu wa nchi ni tatizo kubwaaaaa
 
Nyie ndie aina ya wasomi/wanahabari wa kitanzania wanaojua kucopy na ku paste tu bila kuwa na uwezo wa kuhoji na kuchunguza, tumbo mbele
 
Alisema Samia mwenyewe uwe unafatilia mambo kabla ya kuja huku kicha kichwa bila taarifa!
Samia mwenyewe alisema nini?
Je! aliwaja hao wafadhili wa Royal Tour?
Je! Samia anaamika kiasi gani kwa watanzania wa sasa?
 
Mimi sio mfanyakazi wa Samia naeleza facts tu. Maana Kulikua na mahojiano kibao na Samia alikua ndio kama tour guide so sio hasa ni utalii Bali ni PR ya Rais Samia maana Kwa maneno yake anadai Tz ilikua imechafuliwa na JPM huko nje so walihitaji kurebrand.

Hiyo ni Public Relation strategy kwamba huko nje waseme nchi Iko chini ya mwanamke, Kuna demokrasia, usawa wa jinsia, utalii, rasilimali n.k. na huyo aliyemuhoji ni lobbyist ambaye ana access na Marais kibao so sio normal journalist alitumika kimkakati.

Sasa nashangaa humu watu wajuaji mara national geographic mara Kuna YouTube channels Zina viewers wengi n.k.? PR haiangalii viewers Bali POSITIONING na wale decision makers unaowalenga wale mahoe hae sio walengwa wa hiyo documentary
 
Huwezi kuwa mwajiriwa wa umma halafu ufanye mambo ya siri then uje kutetea uamuzi huo kisa sio pesa ya umma haina shida, wakati hata makubaliano yao huyajui, usitetee hili jambo.
Makubaliano ya Nini Ile si biashara.... Video imeuzwa kwenye digital platform so kama makubaliano labda ni faida za hiyo movie wagawane.

Hakuna anayetetea hili jambo maana nawaza ingekua ni pesa ya umma si ndio mngelalamika kuwa shule hazina vyoo ila mama anaigiza movie!!

Au kwa mfano ulitaka funding itoke wapi?
 
Na bado hatukua na hati miliki pamoja na Rais wetu kuitw amajina matamu na yule Jamaa
 
Pitia comment uliyoandika, unaamini UBONGO na akili vilishirikiana kuandika uliandika?

Yaani mtu mwenye AKILI timamu uongee kama conman halafu tukuheshimu?
Sasa kipi Cha uongo? Kwani shigongo hakupring T shirt ila hakulipwa?

Kwamba CRDB haikuepeleka benki Chato kwani walilipwa Nini? Au VETA kupeleka chuo Chato walilipwa Nini?

Pia nimekueleza hapa TPSF Ili endorse Rais na ikamchangia Hela za kampeni kwani walilipwa Nini in return? Wao ndio walimpa tuzo kabisa.

Hoja ni kwamba kwa nchi zetu hizi Rais ni zaidi ya mungu hata akiwa na initiative kama Royal tour wanaojikomba ni wengi kupeleka michango Sasa unapodai sijui Kuna favors it's as if Rais ndio alijipeleka kuomba pesa ya documentary!!

Hivi kweli billion 10 ndio yakuuza nchi au kufanya makubaliano ya kupewa rasilimali? Embu tupunguze ujuaji.
 
Yaani billion 10 ndio makubaliano ya rasilimali? Are we serious? More over amesema taasisi zaidi ya 5 so probably 2 billion each Sasa makubaliano yapi kwa pesa ya madafu hiyo?

Kingine Ile ni biashara, movie imeuzwa kwenye stations kama Amazon prime, sky, etc so chances are hiyo movie imeleta pesa kiasi kadhaa so kama Kuna malipo yatatokana na mauzo ya movie maana ni mradi kama mradi mwingine wowote.

Hoja labda iwe hizo faida zinazopatikana kupitia movie hiyo anachukua nani? Huko ndio Kuna ufisadi Ila kusema sijui tutauza rasilimali kisa billion 10 nadhani ni mawazo hasi sana.
 
Uko narrow minded sana fungua akili zaidi. Toa takwimu halisi ya hiyo National Geographic Channel, Je hao watazamaji ni muda wote au inatazamwa na watu bilion 2 kwa mara moja?

Hata kama ni kwa mara moja, Je gharama za kurusha vipindi vyako huko ni faida kwako ?

Hata kama gharama ni rafiki kwako, je unafikiri watazamaji wa hiyo Chanel ni watalii? Mimi naonaga hiyo Chanel inapendwa sana na watoto ambao wanaona ni kama chanel ya cartoon tu.
 
Sukuma Gang mkazikwe tu pembeni ya kaburi la shujaa wenu. Wanaojua umuhimu wa Royal Tour ni wanaofanya shughuli za utalii. Nyie Sukuma Gang leteni mada zinazohusu ushirikina na roho mbaya maana ndo fani yenu.
 
Kwani funding ilitoka wapi zaidi ya serikalini?

Kama unao ushahidi kukanusha hilo,ebu tutajie hao fund raisers ambao wamefichwa na Ikulu!
 
Hapa sikuungi mkono.
1. Hakuna mwenye upendo huo wa kutumia bilions kwa fadhila, hiyo ni chambo. TUTALIWA.

2. Kama haina impact basi ni uwekezaji usio tija. Just a white elephant. Hizo hela zingefanya ya maana.

3. Rais ni state figure, kufanya vitu chini ya kiwango ni kutudhalilisha sisi watu wake, ilitakiwa iwe supa kuliko bongo movie.

N.B Rais ni innocent ila washauri wake kitaalam. WAMETUANGUSHA
 
Sukuma Gang mkazikwe tu pembeni ya kaburi la shujaa wenu. Wanaojua umuhimu wa Royal Tour ni wanaofanya shughuli za utalii. Nyie Sukuma Gang leteni mada zinazohusu ushirikina na roho mbaya maana ndo fani yenu.
Utalii wenyewe huujui zaidi ya kulamba visigino vya watawala...Roho Tour haina wala haitakuwa na impact yoyote kwa namna utalii ulivyo...nimefanya kwenye utalii kwa angalau miaka mi5...tena idara muhimu ya Reservation Office.
Huyo uliyemtaja habari yake imeisha hata mi sikumuunga mkono baadhi ya mambo yake...ila nilimkubali kwa namna alivyodili na masnich kama hao mabwana zako unaowatetea hapa!.
 

Nimeenda: Brazil, USA, GERMANY, Poland, Spain, kwenye trade fair ndogo ambazo unalipa $1500 kupata booth....

99% of over 100 people wenye booth Hawaijui Tanzania, and most wana idea ya Kenya.

Hawa ambao hawaijui Tanzania ni tour operators, leave alone wateja wa kawaida.

Tanapa hawakuwepo, hizo billions bora zingewekezwa kwenye hizo trade fair.

Tanapa wanaenda kwenye trade fair kubwa tu, laiti wangalijua the low hanging fruits wangetembea zaidi.

Hakuna watu wanaotangaza hii nchi kama tour operators, tena kwa gharama zao kubwa, but serikali ni kuongeza tu charges.

Tanzania is one of the very expensive destination, na hii bei inaongezwa na goverment fee.

Wange concentrate on admin, Marketing strategies, and related areas ingekuwa na impact zaidi.
 
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato, kama palikuwepo na ulazima sana wa Royal Tour wangeamua kuiweka bajeti yake kwenye mwaka ujao wa fedha wizara ya maliasili na utalii, lakini sio kujichuuza na kuichuuza nchi kwa wafadhili kama tumekuwa timu ya mpira wa miguu.

Narudia tena usitetee huu udhaifu aliouonesha Rais wa nchi wa kutuweka rehani kwa wafadhili
 
Wewe fala miaka mitano michache sana. Mimi nimezaliwa na kukulia kwenye utalii hakuna kitu utaniambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…