Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Ni mwendawazimu pekee anayeweza kuamini upotevu wa muda na rasilimali kufanya video ya dakika 60 inaweza kuinua utalii wa nchi! Nani aliyeodhinisha fedha kwa ajili ya huo mpango hovyo? Nani aliyepitishq njia hiyo ya kutangaza utalii kwamba ndiyo njia bora? Gharama zake nani kapitisha hata kama no fedha za mkopo/msaada, je zisingeweza kupata matumizi bora zaidi?
Nadhani wahusika wote wafikishwe mahakamani wahojiwe.
Nadhani wahusika wote wafikishwe mahakamani wahojiwe.