Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
Screenshot_20250904-104302_Google.jpg


My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!!

Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu kama Bey,ila nenda ukaowaone huko What's app,daah utafikiri sio wale unao wajua

Wanapost vitu vya ajabu kana kwamba anachek yeye tu na mabest zake au mashosti zake,mpaka unajiiza hivi aliwaza nini huyu mtu?

Najua wanasema ishi maisha yako, lakini wakati mwingine ebu jaribu kulinda hadhi yako kwa watu ambao wanakuheshimu basi,haya mambo usifikir yataishia kwenye status tu,ila tunabaki na kumbukumbu zako kwamba huyu mtu ni fyatu,so waeza kosa mambo muhimu kwa ujinga unao weka katika Status

Usije kusema hujaambiwa!!

Ni hayo tu!
 
Nadhani kuna baadhi ya watu huwa wanawahide, kuna wadau wanapost mambo ya ajabu mpaka inashangaza, ila n maisha yao.
Kama wana akili ya kuwa ficha baadhi ya watu it's fine lakini wengi hawafanyi hivyo

Hii unaweza ona ni ishu ndogo lakini inamharibia mtu sana

Siku zote ni vitu vidogo ima vitakupandisha au vitakushusha
 
Una point mkuu,kwa maana nyingine kila mtu ana mambo ambayo kichaa chake ndio kipo hapo
Kabisa
Mfano kwa mitazamo mingine

Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake

Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu

Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao

Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee

Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)

Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake

Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake

Imagine wachezaji wakicheza bila mpira( utapata picha halisi kuwa kila mtu anakichaa chake😅)
 
Nilishawahi kujiuliza hilo swali

Nikakuta wanapsychology wanasema

Kila mtu anakichaa chake

Fanyia observation hii statement
Hakuna kitu kama hicho.
Wamewawekea defensive mechanism kisha wamei—prove ili muendelee kusapoti ujinga wao huko online.

Mtu asiye na self controll ataendelea kuwa weak untill atapoamua kubadilika.
 
Kabisa
Mfano kwa mitazamo mingine

Mtu anayetafsiri movie- unamkuta ni kama anaongea peke yake

Madancer - wanatumia nguvu nyingi kuruka ruka tu

Mwalimu- sometimes anaongea peke yake ni yeye na ubao

Wanawake - muda wote kujiselfie na kuweka weka mafilter kila sk utaona anapost sura yake (ndio ukichaa wake)
Huku akiimba alf utakuta ni mzee

Stand up comedian- muda wote ni kuongea na uongo uongo
(Ukichaa wake)

Wanaongalia TV (muda wote ni Tv tu) ukichaa wake

Wacheza mpira (muda wote anakimbizana na mpira , kuruka , kupiga , (goal keeper anajirusha na kujitupa tu) 90 mins alf unakuta 0-0
Na referee muda wote kuzunguka tu
Mbaba na mindevu yake

Imagine wachezaji wakicheza bila mpira( utapata picha halisi kuwa kila mtu anakichaa chake😅)
Very good insight expert wangu, hapa hatuchomoki tukijichunguza vizuri tunajikuta wote ni vichaa

Kuna wale wa kubet kila kikicha wao ni mikeka tu🤣🤣
 
Expert wetu Ertugrul Bey wamakonde tunasema Don't take it personally. Ukijua maana ya hicho kimakonde. Itakusaidia sana.
Comment yako imenikumbusha huu mzigo niliwahi kuandika hii mada

 
Inategemea na hadhi ya mtu,mfano mtu mwenye heshima zake akipost mambo asiyostahili ni tatizo
Sasa what if kama wewe ndio umeamua kumuona wa heshima lakin yeye anajijua hana heshima hiyo.
Maana heshima ni suala la mtazamo wa wewe kumuelekea mtu mwingine.
Wengine unaweza kuta hata hawamuoni kama unavyomuona wewe, na hao ni wengi sasa. Hapo vipi??
 
View attachment 3464634

My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!!

Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu kama Bey,ila nenda ukaowaone huko What's app,daah utafikiri sio wale unao wajua

Wanapost vitu vya ajabu kana kwamba anachek yeye tu na mabest zake au mashosti zake,mpaka unajiiza hivi aliwaza nini huyu mtu?

Najua wanasema ishi maisha yako, lakini wakati mwingine ebu jaribu kulinda hadhi yako kwa watu ambao wanakuheshimu basi,haya mambo usifikir yataishia kwenye status tu,ila tunabaki na kumbukumbu zako kwamba huyu mtu ni fyatu,so waeza kosa mambo muhimu kwa ujinga unao weka katika Status

Usije kusema hujaambiwa!!

Ni hayo tu!
Chama chukua chako mapema,ccm tunajali kwani?
 
Back
Top Bottom