Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

Kuna wengine wanaigiza Furaha huko online na kupost picha za vicheko wakati ndani ya nyoyo zao wamejawa na Hofu za uthubutu, Uchungu na Majuto.

Hii inaitwa Victim Mindset defensive Mechanism.
Wanalinda Ego.
Tena hawa wapo wengi sana hawa,hivi unajua kuna wengine wanadiriki kwenda na mabegi airport wakipretend wanaenda dubai?
 
Kama wana akili ya kuwa ficha baadhi ya watu it's fine lakini wengi hawafanyi hivyo

Hii unaweza ona ni ishu ndogo lakini inamharibia mtu sana

Siku zote ni vitu vidogo ima vitakupandisha au vitakushusha
Ni kweli ila mwisho wa yote ni maisha yake.
 
Back
Top Bottom