View attachment 3464634
My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!!
Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu kama Bey,ila nenda ukaowaone huko What's app,daah utafikiri sio wale unao wajua
Wanapost vitu vya ajabu kana kwamba anachek yeye tu na mabest zake au mashosti zake,mpaka unajiiza hivi aliwaza nini huyu mtu?
Najua wanasema ishi maisha yako, lakini wakati mwingine ebu jaribu kulinda hadhi yako kwa watu ambao wanakuheshimu basi,haya mambo usifikir yataishia kwenye status tu,ila tunabaki na kumbukumbu zako kwamba huyu mtu ni fyatu,so waeza kosa mambo muhimu kwa ujinga unao weka katika Status
Usije kusema hujaambiwa!!
Ni hayo tu!