Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

Wache wafarijiane hapa.. Nimeshuhudia familia ya mjomba mpaka watoto baadhi wakiteketea kwa ukimwi mbaya zaid mateso wanayopitia mwisho mwa uhai ni magumu. Nimeshuhudia kwa macho yangu
We hujaona wagonjwa wa Figo au Kisukari
UKIMWI hauna shida hata ukiwa nao utaishia vyema tu
 
Ukimwi unaona cha mtoto sababu umefanyiwa ukarabati kisukari kikifanyiwa ukarabati hamtokiogopa nyinyi rudi 1990 kisha ongea kuhusu ukimwi utanielewa nazungumzia nini
Ndio maana ya mtoa mada... Ukilinganisha na mabalaa tuliyonayo sasa hivi, UKIMWI ni manageable is the best of the worst options.

Blaza Mafuru kansa imemuondoa fasta kweli kweli, RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…