Mnaangalia angle moja,simu. Simu nimeitaja ili uone jinsi hela ndogo kama ya kununulia simu inaweza kuzalisha kijibiashara kidogo. Ni ushauri kwa wanaojitafuta sio kwa matajiri wa JF.Nilikuwa natumia Techno hadi siku simu ya 1M+ ilipokuwa basic need.
Ushauri wako ni bora. Ila ubora wa ushauri wako unakuwa unboxed kuelezea techniques za kufanya huo mchongo.
Kwa uzoefu wangu watu wanasimu za mamilioni kwa sababu nyingi.
1: Wadada wa kisasa wanatumia kama kifaa cha uzuri. Ili wakipata Bwana basi awakadilie kadilio la juu na posho nzitonzito kidogo.
2: Wanaume wenye kupenda hadhi ili watafute muonekano wa kitajiri.
3: Wengine ni wapenzi wa kupiga picha basi wanapenda kujipiga picha nzuri watu wawaone.
4: Wengine matapeli. Wanatafuta kuaminika ili waited dili kubwakubwa.
5: Wengine wanapewa ofisini kutokana na hadhi au managerial position waliyoko.
6: Wengine wanapewa zawadi au hangout hivyo hawajatupia pesa zao huwezi kuwalaumu.
7: Wengine wanapenda vitu vizuri kwa asili hivyo wanambinu hata za kuuungaunga kupata vitu vya pharmacy kwa bei nafuu.
8: wengine wamejua biashara hawawezi bora wajifurahishe huku wanasubiri kifo
Mimi simu yangu nikama PC huwezi kuniona hata nimeishika mkononi maana kuwasiliana ni matumizi namba mbili.
Ila nashauri bajeti ya vyombo vya mawasiliano isiingizwe kwenye biashara. Mitaji ibaki kama mitaji na biashara kama biashara.
Kwani imekuwaje Mapembelo cargo? Kampuni imekufa? Au imefirisiwa? Au meli ilizama? T14 ArmataKuagiza vitu China ndio sio kubeti? Waulize wateja wa iliyokuwa Mapembelo Cargo.
Sahihi kabisa mkuu!!Ninaemtumia nilimpata Insta. In fact alinifuata yeye baada ya kuona anachozalisha ndio nauza.
Katika vitu ambavyo sifanyi humu JF ni kumuunganisha mtu maanake akivuruga huko atakuja kuanzisha thread katapeliwa na mimi. So naonesha possibilities.
Nyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.Mbona umecheka mkuu?
Rastafarian Wana msemo wao...😄😄 we mzee
Naunga mkono hojaaaNyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.
Hahaha ,kila mtu anavipaumbele vyake mkuu, kuna wengine hata hatujawahi kutamani kuwa matajiri zaid ya kuishi ndani ya basic needs tu , ili maisha yawe na maana lazima kuwa na vipaumbele tofauti tofauti kati ya mtu na mtu.Nyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.
Kwa angle ya pili mimi nakupongeza sana. Hizi ndio nyuzi za kushare kufungua watu. Watu wengi wanauwezo wa kupata fedha ila mbinu za kuzifanya zilete fedha zaidi wanazo watu wachache sana.Mnaangalia angle moja,simu. Simu nimeitaja ili uone jinsi hela ndogo kama ya kununulia simu inaweza kuzalisha kijibiashara kidogo. Ni ushauri kwa wanaojitafuta sio kwa matajiri wa JF.
Kampuni ilifirisika na pia nahisi ilifanyiwa figisu kiasi chake. Kampuni watumishi wengi ni Wakinga, ofisini ni mwendo wa Kamwene! Kamwene!Kwani imekuwaje Mapembelo cargo? Kampuni imekufa? Au imefirisiwa? Au meli ilizama? T14 Armata
Povu ni unalo wewe mzee. Unakasirika nini wakati nimeshauri kama ulichoshauri wewe.Sasa majibu unayo povu la nini? Hio ni lugha tu hapa ujumbe ni mtaji mdogo unaweza kuagize vitu ukakua.
Kuna wakati unaongea hoja za maana sana...!Nyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.
MamaSamia2025 siku hizi akili zinamrudia kidogo kidogo.Kuna wakati unaongea hoja za maana sana...!
Kumbe hii kampuni ilishakufa!Kampuni ilifirisika na pia nahisi ilifanyiwa figisu kiasi chake. Kampuni watumishi wengi ni Wakinga, ofisini ni mwendo wa Kamwene! Kamwene!
Mapembelo walikuwa wanasifika kwa kuwahisha loose cargo, ambazo Silent Ocean huwa wanachelewesha wao ni wazuri kwa makontena full. Na pia Mapembelo walikuwa wanagandamiza vizuri bale za nguo, nguo nyingi zinakuja kwenye bale moja na walikuwa bei chini kidogo kwa bei dhidi ya Silent Ocean. Soko la nguo Kariakoo limetekwa na Wakinga, ukichangia na kujuana wakajazana Mapembelo kuagiza. Na waagizaji wengine wa aina nyingine na mizigo mingine. Kampuni ilipokufa mizigo iliibiwa, au ikapotea, au kulikuwepo na madeni bandarini mizigo ikakamatwa. Yote kwa pamoja yanawezekana.
Sawa.Kuna kitu hakiko sawa hapa ingawa kuna mwamba mmoja alikuja akanyoosha maelezo uzi upo humu, kuna watu wameumbwa na choyo ya asili anataka yeye ndio awe wa kupata sio wengine
Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia?
Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping, Reselling n.k.).
Katika blogpost hii, nitakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China hadi Tanzania kupitia Alibaba, ukiwa na simu yako tu.
🔹 1. Fungua Account Alibaba
Tembelea www.alibaba.com kisha:
✔️ Bofya “Sign Up”
✔️ Jaza taarifa zako: jina, email...
- Heritage123
- alibaba bidhaa china jinsi jinsi ya kuagiza kuagiza bidhaa kuagiza bidhaa china kupitia
- Replies: 2
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
RRONDO hicho ndicho nilichotaka ukielezee vizuri mkuu sio kingine hayo mambo ya wateja wengine wana vipaji vya kusaka wateja more than you think
Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio?
Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa.
👇 Hizi ndizo hatua za msingi kuagiza bidhaa zako moja kwa moja kutoka China hadi Tanzania:
1. Fungua Akaunti ya Alibaba
Tembelea www.alibaba.com na fungua akaunti ya bure. Alibaba ni soko kubwa zaidi la wauzaji wa jumla duniani.
2. Tafuta Bidhaa Unayotaka
Tumia maneno sahihi ya...
- Heritage123
- agent bidhaa bila china hatua hatua kwa hatua jinsi jinsi ya kuagiza kuagiza bidhaa kutoka
- Replies: 9
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Ushanielewa mkuu RRONDO km hivi
Acha Maumivu ya Kuhesabu Gharama za Kuagiza Kutoka China!
Je, unatumia saa nyingi kufanya mahesabu magumu ya gharama za kuagiza bidhaa kutoka China (Loos Cargo)? Unapoteza muda, unachanganyikiwa, na bado hujui gharama halisi utakazokutana nazo?
Usijali tena! Nimekuandalia suluhisho la uhakika.
Excel Template yangu ya kipekee imetengenezwa mahususi kukusaidia wewe mfanyabiashara, kuhesabu kwa haraka na kwa usahihi gharama zote za kuagiza...
- Mr LJN Jr
- Replies: 9
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Wenzio hawafungi wanafungua sawa RRONDO
Uzi huu ni special kwa ma-street kings & queens wanaotaka kuvuka level kutoka kubeba mizinga mtaani hadi kuwa ma-ceo wa biashara zao. Ukitaka kufanya biashara ya maana, ya ukweli, lazima ujue namna ya kuagiza bidhaa kutoka China—land ya ma-deal legit kabisa. Sasa hapa nataka nikuweke kwenye game hii vizuri, professional lakini pia mtaa-friendly.
NJIA RAHISI ZA KUAGIZA BIDHAA KUTOKA CHINA (Importing Game 101)
1. Chagua bidhaa unayotaka kuagiza.
Hakikisha bidhaa hiyo inahitajika sokoni kwako. Fanya little market research—uliza sokoni, pitia Instagram ya wajasiriamali wengine, angalia...
- Prof_Adventure_guide
- elimu ya mtaa kuagiza bidhaa china
- Replies: 7
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Hawana Negative ni Positive only sawa mkuu
WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima.
Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani linalotumiwa kwa lengo hili ni Alibaba. Ni vyema kabla hujachukua hatua ya kuagiza bidhaa kupitia Alibaba, kwanza ujue kwa undani jukwaa hili ni nini na jinsi linavyofanya kazi, kisha uelewe mambo muhimu ya kuzingatia ili kuepuka usumbufu na hasara zisizo za lazima.
Alibaba ni kampuni kubwa ya teknolojia...
- Prof_Adventure_guide
- alibaba bidhaa china kabla kitaalamu kuagiza kuagiza bidhaa kupitia kutoka kuzingatia mambo mambo ya mambo ya kuzingatia mwongozo
- Replies: 4
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
kama hutojali mkuu, Iphone za maana ni zipi..!?Nina ekari zinanitosha. By the way sijashauri mtu auze simu yake. Kwanza wenye iPhone za maana humu wanahesabika.