mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
- Thread starter
-
- #41
Kariakoo eneo la waislamu, zanzibar inchi ya kiislamu na bado tunawapa nafasi sana,Nyie mnateka barabara Kariakoo siku za Ijumaa kiasi wengine hatuwezi kupita. Zanzibar mmejimilikisha kisiwa kiasi hamtaki kuona imani zingine
Tatizo sio kuzuiwa, tatizo ni ufisadi wa mali ya umma, tumieni hela zenu au za kanisa mkapamve na kuchezea hela huko muone kama tutalakamikaKwani nani kawazuia kuweka mapambo ?????????
Amemaanisha hivi: Krismas na pasaka ofisi za Serikali hupambwa mithili ya nyumba za Wakristo, lakini wakati wa sikukuu ya Waislamu ya kuchinja hakuna kilichofanyika. Ameona kama sherehe za Kikristo zinapewa heshima kwenye ofisi za Serikali ilhali za Kiislamu hazijaliwi.Nimetoka kapa
Angalizo ni ngumu sana kuelewa thread hii
Andaeni viwakilishi vya sherehe/sikukuu zenu navyo viwekwe mtakapo na umeme wa walipakodi utumike.Kwa mfano,wale huweka miti halisi au bandia yenye mapambo na taa aina kwa aina au sanamu za katoto kamelala kamezungukwa na watu wazima na wanyama.Za serikali huwekwa mabango makubwa yenye jumbe mbalimbali zenye picha wakilishi.Sasa,ni muda muafaka mfanye ubunifu na kuacha ufunifu!Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka
Mfumo ovu bado upo, kuweni makini
Povu ruksa
Mimi nimesikia ila muache kufunga barabara muhimu za walipakodi mjini ili msomewe kitabu chenye hadithi.Tatizo mnatumia hela ya serikali kwenye sikukuu zenu, kapambeni makwenu na kwa hela zenu
Acheni ufisadi
Kariakoo eneo la waislamu, zanzibar inchi ya kiislamu na bado tunawapa nafasi sana,
Ilitakiwa tubane mpaka msemee
Sema nini, sie waungwana bwashee
Na ndicho nilichohisi kwamba mnafikiri, mnataka na kutamani ila ni kazi bureBasi usilielie maana Tz ni nchi ya kikristu
Mbadala wa barabara ni mwingi sana, seikali ya ccm chini ya mama samia imerahisha sana barabara hasa za mjini,Mimi nimesikia ila muache kufunga barabara muhimu za walipakodi mjini ili msomewe kitabu chenye hadithi.
Tatizo ni kulazimisha dini zenu sehemu za kazi, na pindi wenzenu wakifanya ibada pembeni tu tayari mnazushia mpaka mawaziri eti wamejenga msikiti ofisiniAndaeni viwakilishi vya sherehe/sikukuu zenu navyo viwekwe mtakapo na umeme wa walipakodi utumike.Kwa mfano,wale huweka miti halisi au bandia yenye mapambo na taa aina kwa aina au sanamu za katoto kamelala kamezungukwa na watu wazima na wanyama.Za serikali huwekwa mabango makubwa yenye jumbe mbalimbali zenye picha wakilishi.Sasa,ni muda muafaka mfanye ubunifu na kuacha ufunifu!
Inchi 🙌!
Wenzako wanaangalia id kwanza we unasoma kwanzaNimesoma mara mbili nimetoka kapa. Nikarudi kuangalia ID ya mtoa mada nikajua ni yule mzee wa Butiama
Kwani hizi mfatazo ni za wamasai?Mtajiju.. Nyie si mmeamua kufata tamaduni za mabedui..
Tunalalamikia ufisadi wa kodi za wanainchi, sio mapambo , usihamishe magoliMnalalamikia Hadi mapambo?? Sasa kama 95 sio waumini wa mwamedi ulitaka apambe nani?? Kuleni wali mtulie sherehe zenyewe KAZI kupelekeana moto hamna Cha maana kabisa
Huyo ni mdini anafumbishaNimetoka kapa
Angalizo ni ngumu sana kuelewa thread hii
Hakuna kufumbisha wala nini, iko wazi open ni akili uji tu au kujisahaulisha tu kwa makusudi au acting tu,Huyo ni mdini anafumbisha