Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Mkuu, siku ukija kufanikiwa kupata ukaribu na Tycoons ndipo utaja tambua those people ni watuaji aiseee na niwalevi wakubwa na wahalifu sana.Maskini ni watu wanaowaza chini tu
Kikubwa aanacho hakikisha wanalinda kwa gharama kubwa ni reputation yao kwenye jamii na nchi kwa ujumla.