Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.
 
Kwani umekufa wewe?
 

Shaur Lako Ndio Nakueleza Sasa.....

Mkono Mtupu Haulambwi. Njoo Uchaggani Uone. Huna Hela Kaa Pembeni. We unadhani wachagga wanavyo komaa mjini kutafuta hela ukajua ni bahati mbaya....

Mchagga Usipokua na Hela Sisi Kwetu Unaonekana Failure / Hujapevuka Bado. So Kaa Kwa Kitulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…