Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Huyo wife wako hana kaka zake au ndugu zake wakiume kama vipi jichanganye na masela
 
Umemuabisha sana mkeo ndio maana anakufanyia vitimbi labda ushtuke uondoke, dada zake wote wameolewa hakuna hata mmoja mume wake amekuja kwenye msiba wa babu wa wake zao zaidi wametuma tu pesa na wake zao wamewakilisha
sasa wewe mwanaume mzima msiba wa babu wa mke wako unaukalia wiki sasa hapo si hata wakwe wanakudharau na kuona huna shughuli ya maana huko mjini
Na umekuja hapa unalalamika eti hupati huduma nzuri kwa mkeo hapo msibani ina maana bado tu unatamani kuendelea kuwepo hapo msibani??
 
Nauli yenyewe hana anataka adandie Lori 🤣🤣🤣🤣🤣
 
hivi babu tu, mkwe anafunga safari....si angempa tu wife nauli na rambirambi.
halafu sijui atakua mkwe kapuku make wakwe hawashtushwi na uwepo wake
Huyu anaonekana ni Jobless maana kaenda msibani na anasiku 3, mara adandie sijui fuso atokomee zake huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Inamaana mke angemjali angekaa mwezi masibani
 
Huyu anaonekana ni Jobless maana kaenda msibani na anasiku 3, mara adandie sijui fuso atokomee zake huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Inamaana mke angemjali angekaa mwezi masibani
arobaini ingemkuta hapo hapo...
bora adandie tu hilo lori mkwe aondoke, na wamemstiri ilitakiwa atumwe tumwe kupasua kuni, kuchota maji....
 
Huyu anaonekana ni Jobless maana kaenda msibani na anasiku 3, mara adandie sijui fuso atokomee zake huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Inamaana mke angemjali angekaa mwezi masibani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mgonjwa ulienda kumuangalia wakati anaumwa au ulikuwa bize maana hayo mambo yanaanzia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…