Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Huyo wife wako hana kaka zake au ndugu zake wakiume kama vipi jichanganye na masela

Kama hajapewa heshima yake na kupelekewa hata maji basi huyu ana shida mahali
Kama hata wakwe hawamjali au mke kamtambulisha kama dereva wake wa Boda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni wapi huko? Madaba Songea?
 
Ana matatizo huyu jamaa ukweni hawamtambui, ukute hajatoa mahari
Yani mtu anasema anadandia Roli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nyie tutafute hela huo msiba ukute hajachanga hata 100 au katoa kihela mbuzi lazima mkewe amjali ex alietoa zaidi
 
Uko sahihi. Sepa akukute kwenu. Kama ana swali akaulize mkiwa wawili.

Hapa ndo naelewa kumbe mke wangu ni bora.
 
Pia inawezekana hasaidii ukweni yupo yupo tu hadi wanamsahau kama ana exist

Too bad
Anahuzunisha kwa kweli
Kuna binadamu huwa hawajui makosa yao
Sasa hapo anamshangaa mke wake utafikiri yuko kwenye kilio asichokijua

Yaani hata mtu wa kukaa nae
Kweli kuna shida hapo
Hamna ndoa hapo
 
Too bad
Anahuzunisha kwa kweli
Kuna binadamu huwa hawajui makosa yao
Sasa hapo anamshangaa mke wake utafikiri yuko kwenye kilio asichokijua

Yaani hata mtu wa kukaa nae
Kweli kuna shida hapo
Hamna ndoa hapo
Kuna tatizo kubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ila ushauri wa humu unatia kichwa moto

Huwa unamtia vizuri?

Yupo na Ma-Ex wake wanaomkojoza

Unasepa binamu anaitumia mpaka arobaini iishe

Zamu ya mabinamu kuhudumiwa

[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu na bado wachaga mnagongewa kinona.

Hamna Kitu Kama Hicho....Kugongewa haina silika ya ukabila or jamii flani. Mtu yeyote boya aliye mlegevu au huenda ana kasoro flani kugongewa ni lazima. Its can be chaggas, haya, zaramo, kwere, sambaa, digo, sukuma, kurya or anybody.

Swala hapa kama wakiume lazima uonyeshe uanaume katika ku provide kwa jamii yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…