Tuko tayari kupigwa na kubaguliwa kwa kuitetea Israel

Tuko tayari kupigwa na kubaguliwa kwa kuitetea Israel

Mzuka Wanajamvi!

Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel. Pia tunawaombea kheri ndugu zetu wa Palestina kikubwa tu waitafute na waijue Kweli.

View attachment 2738497View attachment 2738498View attachment 2738499View attachment 2738500
We acha ujinga hao unaosema waisrael sio wale wa kipindi cha yesu hao ni wazungu tu ambao asili yao Ni uturuki Wala hawana uhusiano hata chembe na waisrael wale wa biblia ..na Tena Hawa mamluki wanapinga ukristo ..kwa hio acha ushamba na kukurupuka
 
Hahahahahhahahahhahhh!!! nilikuwa nachukia maandiko ya zamani ila tokea nilipokufuma uzi wa wavuta bange humu ukiwa mstari wa mbele kutetea na kutoa madini ya bange ndipo nikaamua kutochukulia serious post zako huenda wakati mwingine unaandika ukiwa under influence of Mjani.

Huyu hafai hata kutembezewa [emoji377]
 
Mathayo 21:43

Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Ufalme wa Muumba ulishahama kutoka mashariki ya kati (Israel) kama yesu alivyosema na sasa umehamia mashariki halisi (Tanzania) ambalo ndilo taifa baba na Chanzo cha Baraka kwa mataifa yote.

Ulihama lini sangapi,Kwa tz hapa sio kwa ccm hii,ungesema USA ungeeleweka.
 
Mzuka Wanajamvi!

Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel. Pia tunawaombea kheri ndugu zetu wa Palestina kikubwa tu waitafute na waijue Kweli.

View attachment 2738497View attachment 2738498View attachment 2738499View attachment 2738500
Wayahudi wenye asili ya Ethiopia wanauawa kila mara na wale wayahudi wazungu wanaodai ngozi nyeusi sio binaadamu bali ni Nyani waliolaaniwa.
Mtu mweusi asie muislamu mpk kesho atanyanyaswa na mzungu sababu toka mwanzo kaambiwa yesu alikuwa mzungu na ndie wanaemuabudu.
Wajinga ndio wali wao
 
Haijalishi imeandikwa kwa vyovyote vile ukimbariki muisrael unabarikiwa ukimlaani unalaaniwa
Mimi last friday nilimbariki malaya wa kiisrael kwa kumpelekea moto wa maana jiji ashdood,malaya wa kiisrael anakuachia mwili wote mkitaka mkosane mguse matiti sijui why wako vile 😋
 
Mimi last friday nilimbariki malaya wa kiisrael kwa kumpelekea moto wa maana jiji ashdood,malaya wa kiisrael anakuachia mwili wote mkitaka mkosane mguse matiti sijui why wako vile 😋
Rudisha avatar picha yako ya awali tuliyokuzoea ya Thiago Alcatraz.
01gqdgt1z6e56cxpkfa9.jpg
 
Hahahahahhahahahhahhh!!! nilikuwa nachukia maandiko ya zamani ila tokea nilipokufuma uzi wa wavuta bange humu ukiwa mstari wa mbele kutetea na kutoa madini ya bange ndipo nikaamua kutochukulia serious post zako huenda wakati mwingine unaandika ukiwa under influence of Mjani.
Hamna namna unaweza kuwa humchukulii serious halafu utumie paragraph lote hili kumjibu sentensi yake ya maneno matatu tu
 
Back
Top Bottom