hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Semenya una ngozi nyeusi kama mkaa lakini unajikuta ni muisraeli!Tulia weweee na urudishe avatar picha yako ya awali tuliyokuzoea ya Thiago Alcatraz.View attachment 2738597
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semenya una ngozi nyeusi kama mkaa lakini unajikuta ni muisraeli!Tulia weweee na urudishe avatar picha yako ya awali tuliyokuzoea ya Thiago Alcatraz.View attachment 2738597
Ulihama lini sangapi,Kwa tz hapa sio kwa ccm hii,ungesema USA ungeeleweka.
Acha kujitoa ufahamuHili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka.
Mkaldayo Niggaz yani our hands are tied we can't do anything. Ni kufuata tu maandiko.Semenya una ngozi nyeusi kama mkaa lakini unajikuta ni muisraeli!
Na Accumen MoUmemsahau kahtaan
Vipi kule Tunisia Libya Morocco watu weusi Waislamu wananyanyaswa na kubaguliwa?Wayahudi wenye asili ya Ethiopia wanauawa kila mara na wale wayahudi wazungu wanaodai ngozi nyeusi sio binaadamu bali ni Nyani waliolaaniwa.
Mtu mweusi asie muislamu mpk kesho atanyanyaswa na mzungu sababu toka mwanzo kaambiwa yesu alikuwa mzungu na ndie wanaemuabudu.
Wajinga ndio wali wao
Hizo nchi zote ni za AFRICA na kuna wananchi WEUSI wa asili ya hapo. Ndio maana hujawahi kuona kwenye chombo chochote cha habari kuwa kuna mlibya au mmoroco mweusi kanyanyaswa kwa sababu ndani ya familia ya weupe kuna weusi wengi tu.Vipi kule Tunisia Libya Morocco watu weusi Waislamu wananyanyaswa na kubaguliwa?
Huu Ni uchiziIla Niggaz ni wabishi. Nothing we can do we've been told if yo bless Israel you will be blessed if you curse Israel you will be cursed no matter what they do toyou segregation, kill you and hate you but you must stick to the scriptures.
Niggaz our hands are tied nothing we can do
View attachment 2738517
Vijana wamekua brain washed mpk wamekua mazuzuHuu ni Ujinga wa Karne wa Mwafrika! Simama na Taifa lako kijana, ni mtanzania simama na Tanzania yako, ni mganda simama na Uganda yako, ni mnyarwanda simama na Rwanda yako, nk
Mwache Mwisraeli asimama na Taifa lake la Israeli.
Wewe Mwafrika huku unakufa ni maskini kwa sababu ya ufisadi, rushwa, ubadhirifu wa mali, dhuruma, nk katika nchi yako haya ndiyo ya kupambana nayo katika Taifa lako!
Mataahira haya 😆😆Mzuka Wanajamvi!
Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel. Pia tunawaombea kheri ndugu zetu wa Palestina kikubwa tu waitafute na waijue Kweli.
View attachment 2738497View attachment 2738498View attachment 2738499View attachment 2738500
Lakini Sheikh hata Uislam haumuoni Mtu mweusi kama binadamuWayahudi wenye asili ya Ethiopia wanauawa kila mara na wale wayahudi wazungu wanaodai ngozi nyeusi sio binaadamu bali ni Nyani waliolaaniwa.
Mtu mweusi asie muislamu mpk kesho atanyanyaswa na mzungu sababu toka mwanzo kaambiwa yesu alikuwa mzungu na ndie wanaemuabudu.
Wajinga ndio wali wao
Leta andiko. Sio bla bla za vilabuni.Lakini Sheikh hata Uislam haumuoni Mtu mweusi kama binadamu
Imeandikwa wapi kwamba kupigwa au kubaguliwa na myahudi ni baraka?Mzuka Wanajamvi!
Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel. Pia tunawaombea kheri ndugu zetu wa Palestina kikubwa tu waitafute na waijue Kweli.
View attachment 2738497View attachment 2738498View attachment 2738499View attachment 2738500
Wayahudi waliokuwa wakiishi enzi za Biblia ni weusi wenzetu, hata Yesu alikuwa mweusi ndio maana ilikuwa ni rahisi kwenda kujificha MisriYani kutafuta mibaraka ndo kurogwa?
Uislam na Ukristo kwa kutumia akili zetu kwa dhati ni tamaduni kandamizi. Uislam uko kwa ajili ya Waarabu, na Ukristo uko kwa ajili ya Wazungu, kama ambavyo Hinduism iko kwa ajili ya Wahindi.Leta andiko. Sio bla bla za vilabuni.
Kwenye UKRISTO wala hawajifichi ktk kumbagua mtu mweusi.
Wapi ulisikia PAPA mweusi?
Hata katibu wake ni marufuku kuwa mweusi.
Mtu mweusi anaonekana kwenye kubeba ile gauni yake tu.
Kingine. Picha walizoamua kutangazia UKRISTO.
Yesu MZUNGU
Mama yake MZUNGU.
Malaika WAZUNGU .
Mpk wachunga kondoo WAZUNGU.
Picha ile ya Last supper WAZUNGU TUPU.
Santa clause 🧑🎄 MZUNGU
Christmas nzuri inaitwa (WHITE CHRISTMAS).
Movie zote za Yesu WAZUNGU.
Viongozi wote waanzilishi wa MADHEHEBU YOTE YA KIKRISTO WAZUNGU.
Halafu hapo hapo ndani ya Bible SHETANI ni MWEUSI.
Watu wa Jahanamu WEUSI.
Uchawi (BLACK MAJIC).
Utapeli (BLACK MARKET)
Ukiwa muhalifu unaandikwa kwenye (BLACK LIST)
Hio kwenye UISLAMU umeshwahi Kuona upuuzi huo.?
We utakuwa umelewa ghahawa siyo bure. Nani kakwambia Yesu ni Mzungu. Leta andiko.Leta andiko. Sio bla bla za vilabuni.