Tuko tayari kupigwa na kubaguliwa kwa kuitetea Israel

Paroko muefeso wala siwezi kushangaa kuandika usichokielewa tutatumia muda mrefu sana kukuelekeza maana ya hizo hadith na pia huwezi kukubali manake sifa ya kafiri yyt ni KUKATAA HAKI.

Tutazame UHALISIA.
Sisi waislamu tunaamini Mtume ADAM alikuwa mtu mweusi. Mtume Musa alikuwa mtu mweusi na kitabu chetu kinawapa heshima zote na wakitajwa tunasema Amani ya Mungu uwe juu yao.

Kwenye UKRISTO umeshawahi kuona kiobgozi wa kitaifa au hata picha yyt ya kiongozi wa KIKRISTO MWEUSI?

PAPA ulishawahi kusikia kachaguliwa mweusi?

WAANZILISHI WA MADHEHEBU YOTE YA KIKRISTO kuna mtu Mweusi?
Jibu unalo lkn huwezi kukubali hata siku moja kuwa wazungu abadan hawawezi kumuona Mtu mweusi sawa na wao kwenye UKRISTO
 
Huo ufalme wa Mungu mbona siuoni Tanzania?maana nchi inaongozwa na majizi,wezi na wanyanganyi.
 
pia huwezi kukubali manake sifa ya kafiri
Kwanza nitake radhi mimi sibishani na wewe tunaeleweshana. Maana mimi sisadiki mungu wako na wala wewe hausadiki Mungu wangu. Pia mimi siyo Kafir. Kama mimi ni kafir na wewe pia ni kafir

WAANZILISHI WA MADHEHEBU YOTE YA KIKRISTO kuna mtu Mweusi?
Ina maana Kakobe, Mwingira, Geodavis ni wazungu? Ethiopian Orthodox nao ni wazungu au Wayahudi?

Sasa wewe niambie dhehebu gani la Kiislam au hata "school of thought" ipi ambayo muanzilishi ni Mtu mweusi. Labda kama Qadian au Mtukufu Agha Khan ni weusi

Che mittoga
mgeni njooni
 
Uislamu umetokea uarabuni
Na kila kiongozi mkuu alitoka huko.
Sasa we nambie ugalatia umetokea Vatican?
 
Wakati huo Israel hana habari na nyiye ngozi ya nyani anawaona Kama tumbili tu hamna akili, Israel anawabagua nyiye watu weusi. Israeli wanauwa wapalestine Kama nzige. Kweli wazungu na waharabu walitulisha matango pori sana, leo hii hizi dini kwao wanazikataa, wanaabudu miungu wao. Watu wa Asia wanaabudu miungu na mababu na Bibi zao ndo maana Wana akili na maendeleo sana. Israeli wanafukuza watu weusi wasikae uko Israel wanachafua mazingira. Kweli ngozi nyeusi Ni shida sana. Leo Israel wanaongoza kwa mauwaji dunia nzima watawale kiuchumi, makampuni makubwa yako chini ya Israel dunia nzima, wanauwa na kupora mali za nchi nyingine wewe ngozi ya tako umeachiwa vitabu usome na kuwatukuza hao wazungu na waharabu na kuwaona miungu watu. Ndo maana akina Samia wanaenda kusaini utumbo wa mkataba kuuza nchi utafikiri akili zao zimejaa kinyesi tu. Kwa kuwaabudu waharabu kwamba wako karibu na Mungu. Hayo yote Ni matango pori.
 

Attachments

  • Screenshot_20230905-011518.png
    83.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20230905-011358.png
    107.8 KB · Views: 4
Za chini kabisa ya kapeti inasemekana eti sisi ngozi nyeusi ndio waisraeli wenyewe hasa yaani wale OG kabisa!
 
CC: YEHODAYA na wayahudi wa kibaigwa, excluding wakristo wanaojitambua(maana hao huyasoma na kuyaelewa maandiko lakini siyo wale walioshikiwa akili na akina Mwamposa)
 
Unampigania mtu ambaye hakutaki? Waziri mkui wa Israel ameahidi kujenga ukuta kuzuia watu kutoka afrika
 
Tulia wewee
 
Mkuu si bora ungekaa kimya tu. Unajiabisha mchana kweupe kwakweli bora ungeenda kupost Facebook.
 
Hilo wazo lako binafsi.
Uislamu inatufindisha kwa kusema.l ktk aya ya 3 suratul hujurat.

Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.

Tunaambiwa mtu BORA mbele ya MUNGU ni yule mwenye kuabudu zaidi kuliko wengine.

Sio mweupe wala mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…