Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Ni ishara ya Uhuru uliopitiliza
 
Nikiona mtu kachora tattoo anapelekea nianze kutathmini busara yake.
 
Na wanaochora za asili kama wamasai na wamakonde nao wanamekengeuko mibaya ya tabia????
 
Ni mtizamo wako ni imani yako na malezi uliyo lelewa na kukulia
Dunia ni kubwa sana ina milima, Mabonde,jangwa,misitu unachoamini ww unaekaa Miliman usitake amini na yule anaekaa mabondeni
Dunian humu kuna jamii na makabila tatoo ni moja ya tamaduni zao sasa nkuulize ww sku mungu akija izo jamii na makabila yanayochola tatoo watachomwa wote moto?
 
Hivi tattoo zimeanza siku si nyingi?

Nimeuliza hilo kwa sababu sioni WAZEE wenye nazo, ukiacha wale bibi wa kimakonde.
 
Sexual preference.

Mimi mwanamme nawapenda wanawake wenye tattoo.

Wewe mwanamke (sina hakika) unapenda wanaume wenye tattoo.
 
Mm binafs niliwai gegeda manza mwenye kuchora tatu. Ya njoka kwenye mgogo wake hakik Yule demu Ni single mam wa kudumu na pia anapenda kufiranaaa Hali ilinifanya niachane naye kwanz hyo tatu chaipenda na pia ananilaumu kwa kuti mfiraa nilishngaa sna
Wenye tattoo wengi huwa wanakua wild vichwa panzi.

Yaani kila uchafu wewe twende.

Niambie nani mwenye tattoo anaishi clean life

Wengi wana mambo mengii ya ajabu ajabu
 
Samahani kwa matamshi haya,
Upande wangu hasa kwa wanawake nikimuona ana tatoo naamini ni mtu anayejiuza basi.
 
Sexual preference.

Mimi mwanamme nawapenda wanawake wenye tattoo.

Wewe mwanamke (sina hakika) unapenda wanaume wenye tattoo.
Sipendi mtu yeyote achore tattoo ila naona kulikoni achore mwanamke ni heri achore mwanaume. Na hata ningekuwa mwanaume nisingevutiwa na mwanamke aliyechora tattoo.
 
Malezi na tatuu yana mahusiano gani??
Siku Mwanao mwenye Tatoo atakapo enda kujiunga na majeshi yoyote, iwe Polisi, Magereza, JKT, JW, Uhamiaji Nk.

Watakapo Mrudisha umwulize walimwambia nini ?

Maana huko hakuruhusiwi watu wenye Tatoo yoyote mwilini hata ya nukta moja.
 
Unavyosema malezi mabovu unamaanisha nini?
Yaani wazazi /walezi wake walikua watu wapumbavu, wenye tabia mbaya, Malaya, wezi, hawana maadili, hawakumkanya wanaye mlea, walevi, wasio na Upendo, wasio na upeo '
Kama unadhani kujichora Ni akili hebu kaombe kazi jeshini au polisi au hata jeshi la faya.
 
Aisee huna bahati...kuna wadau humu wanazo hawatakuelewa..ngoja uone utakavyoshambuliwa!
"Jambo jema hubaki jema bila hata km linafanywa na mtu mmoja,na jambo baya hubaki baya hata kama linafanywa na wengi".
 
What?
 
Upo 100% correct. Halafu wengi wenye tatoo (hapa kwetu Tanzania na nchi za Afrika) maisha yao ni dhiki na wamepigika. Ila hiyo wanafanya ni kama back up ya covering their life class/status.

Msemo "umachinoo huficha umaskini wa mtu".

Yaani huwa ni kinyaa. Wengine mpaka inyaa, mbususu na dushelele wanazichora tatoo.

Waliotoka maisha kwenye maisha supa hawana huo ujinga. Ila kwa walala hoi ndio shida iliko tamalaki!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…