Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu habari zenu?
Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani.
Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani Al hilal cha bao moja kwa bila.
Yanga Walikuwa wanaongea sana mpira wa mdomoni bila kuongelea mpira wa uwanjani,na ubora wa timu yao
Watu walikuwa mpaka wanapanga timu Mwalimu msogeze fei Toto pale mbele ,wengine kibwana kule asinze walikuwa wanasema kujipa moyo na wakati kihualisia ukiangalia wachezaji wengi wanyanga wanauwezo mdogo kucheza hayo mashindano lakini huku kwenye mitandao wanavyoisifia yanga mpaka unashangaa.maana kwenye mitandao ukipita barabarani kote wanakwambia wanapindua meza.
Kwenye mpira sio maneno ni mipango ya kucheza uwanjani ndio unashinda.na wala sio majina ya wachezaji pekee ndio yatakubeba kama walivyokuwa wanajifariji kwa wachezaji wao kumbe hakuna kitu,
Sasa sijui mtamrahumu nani safari hii?
Me kuna muda mpaka nikaogopa nikapata wasiwasi nikasema yanga kweli anaweza kushinda.kumbe yale yalikuwa maneno matupu bila vitendo wameenda kule sudani wanacheza taratibu hawana haraka halafu hawana mipango yoyote kama wenzao yaani ukipata mpira mpe “MWAFAG “ awakimbize kule pembeni mara mbili mara tatu tutapata ushindi,wao yanga wanapeleka mpira mbele mayele atafunga tu huku muda uzadi kwenda.
Wengine walikuwa wanasema kule yanga ataenda kushambua tu na wale jamaa watakuwa wanafunguka kwa hiyo atawafunga tu.na mashabiki wa yanga kwenye mitandao walikuwa wanajisifia mpaka unashangaa kama pale kwa mkapa umeshindwa kumfunga kule sudan ndio utamfunga? Na ukizingatia mechi ya kwa mkapa mlizidiwa sana maana jamaa walikosa wagoli ya wazi.
Yanga wawekeze kwenye mbinu za uchezaji sio kwenye mdomo na kununua mechi timu unaona kabisa haina huwezo lakini wanakuambia hii timu itaenda kupindua meza sasa meza imekuwa nzito(meza imekuwa ya mti wa Mninga)
Yanga mkajifunze mpira na muache kuomba mechi za kirafiki na sijui mbuni fc, friends rangers na timu zingine hizo za kigamboni hapo.
Simba kama atapangiwa kundi moja na huyo Al Hilal hapo jumanne akija hapo sudani atakuwa tayari ameshacheza kwenye huo uwanja amezoea na hana wasiwasi wowote maana aliomba mechi ya kirafiki na hao jamaa mwezi uliopita.
Yanga maneno matupu ya kwenye jamii forum na kwenye mitandao mingine na mitaani hayaja wasaidia.
Maana porojo za mitandaoni peke hazikufanyi ushinde mechi.
Full time: Al halal 1 Yanga 0
Niite MWAFAG.