Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Yenge imewekeza pia kwenye bahasha, tatizo kwenye kimataifa siyo rahisi!! Hapa bongo ndo zao!!
 
Maneno meeeengi kumbe matokeo ya ligi kuu ndo yako hivi,sasa wao wanaingiza humo kila kitu. Kwa sasa tunasimama na matokeo ya ligi kuu kwanza
Screenshot_20221020-205436_Instagram.jpg
 
Kwaiyo mazembe alivotoka huwa ananunua mechi hilo Kongo
Au nyie Simba mlivochukua ubingwa miaka 4 huwa mlinunua marefa
Hivi nyie mashabiki mandazi mna akili gani kubali Yanga tulikuwa bora msimu uliopita kuwazidi ndo maana tukawa mabingwa

Mkuu huwezi kulinganishA yanga na tp mazembe wewe mazembe alikuwa anafungwa tu kwao sio kama nyinyi mechi zote mmeshinda kwa mchongo lakini mbona hamng’ati yaani hamtishi mnampira mbovu sana.hilo halina ubishi tumejionea kwenye ligi ya mabingwa.

Tulikuwa tunachukua ubingwa na tulikuwa tunafungwa .

Mkuu kama mlikuwa bora na kikosi chenu hakikubadilika mbona kwenye ligi ya mabingwa hamna lolote unacheza mpira hauna tofauti na ihefu, bingwa gani wewe,bingwa wa mchongo.

Kwenye dunia ya Leo timu imalize ligi bila kufungwa wanagawa dozi kweli kweli sio kama nyinyi mpira mbovu mnajisifia eti unbeaten?
 
Kwaiyo mazembe alivotoka huwa ananunua mechi hilo Kongo
Au nyie Simba mlivochukua ubingwa miaka 4 huwa mlinunua marefa
Hivi nyie mashabiki mandazi mna akili gani kubali Yanga tulikuwa bora msimu uliopita kuwazidi ndo maana tukawa mabingwa

Kama wewe ulikuwa bora tumekupima kimataifa kule mbona umeshindwa kufurukuta? Na kikosi chenu hakija badilika.

Kule huwezi kupenyeza bahasha una force uwe bingwa kwa bahasha,kule umepata aibu ya mwaka eti unbeaten.
 
Ndio kawaida yao hiyo wanakuwa na maneno mengi kama wanacheza uwanjani peke yao vile.

Halafu inaonekana wengi hawajui vizuri hayo mashindano

Unakuta hapo hata hao berkane atakuambia tunawafunga tu.na wakati hao berkane ndio mabingwa wa supercup wanajua hatari sana hao watu.

Hapa afrika mashariki timu ya kumsumbua berakane ni simba peke ake..hao wengine watakula hata saba kimya
 
Wazee wakuwekeza kwenye mdomo mnapata aibu sasa
 
Kwaiyo mazembe alivotoka huwa ananunua mechi hilo Kongo
Au nyie Simba mlivochukua ubingwa miaka 4 huwa mlinunua marefa
Hivi nyie mashabiki mandazi mna akili gani kubali Yanga tulikuwa bora msimu uliopita kuwazidi ndo maana tukawa mabingwa

Vipi huko kimataifa mbona mnatia aibu.
 
Tufanye yanga sio unbeaten sasa kiongozi haya furahi na roho yako halafu tufanye ww ndo unbeaten pia furahi na roho yako alafu ww pia shinda mechi zako usimuangalie unbeateni ukimuangalia unbeaten utaumia tu nakuhakikishia
 
Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Hapa ndipo akili zenu utopwinyo zimeishia...mnasajili kwa ajili ya Simba tu..
Pambaneni na hali yenu huko ..

Ngedere ninyi
 
Back
Top Bottom