Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahaha kuna ka clip fulani hivi sema siwezi kui upload
Malengo yako yanabadilisha vipaumbele vyako na kuna uwezekano vikawa tofauti na wengine kwa sababu unapotaka kufika ni tofauti na wao.Simba wanatamba kwa yanga kuwa , yanga kimataifa hamna kitu lakin simba kimataifa wamewekeza, yanga huwa wanajibu kwamba na wao huwa wanawabomoa mara nyingi wakikutana. Hapo wanasimba watajibu "mlichobakiza ni kuwekeza kuifunga simba tu lakini kimataifa hamna kitu" hapa huwa najiuliza INA maana simba wamekata tamaa kabisa za kuifunga yanga mpaka wanaishia kujibu ivyo.
Hahhahh....!! hapo nmekubali kwa yanga mmenyoosha mikonoSimba haikuanzishwa ili kuifunga yanga
Hata makolo wanapokutana na yanga huwa wanafeli , ni kukanyagwa tu. Huwezi kusema mi nawekeza nje tu ndani sipawezi nao ni ujinga unashindwaje kuwekeza koteNa hizo level za majibishano na waliofeli soka la kimataifa huwa hatuna. Haijafika mara 10 utopolo kuifunga Simba so it is not a big deal
Safari hii wameula wa chuya. Hii ni Simba ya Mgunda, kocha imara.Na ndio maana kimataifa mnambwela kule hakuna ujamaa, nyie subiri mumfunge simba mshangilie.
Kwahiyo Simba hachukui vikombe ,Ila yanga ndie pekee anachukua vikombe.Nawewe nunua Ili uchukue vikombe, kama vinauzwa. Simba anatandikwa na Yanga tangu miaka ya 60' mpaka Leo bado una amini Yanga ana nunua!!![emoji1][emoji1]
Kitimu kilichokutoa Jana Simba alikipiga 4-1 pale kwa mkapa ,sijui una jipya gani wewe kilazakimataifa umechukua kombe lipi,vitim ambavyo mikia mmecheza navyo ni vya kawaida sana,kama huamini,droo ipangwe mzee baba arafu uone mlango wa kutokea.utabisha ila huo ndio ukweli.
Mpira ni biashara watu wanaweka malengo makubwa penye mpunga wa maana .Hata makolo wanapokutana na yanga huwa wanafeli , ni kukanyagwa tu. Huwezi kusema mi nawekeza nje tu ndani sipawezi nao ni ujinga unashindwaje kuwekeza kote
Asikwambie mtu , mrembo Yanga ni mtamuView attachment 2390543
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app