Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Arafu mbona Simba turishapangwa na Al Ahly na tukaongoza kundi retu Muraa.Hayo mengine ni porojo zenu Uto kujipa matumaini,ishukuruni sana CAF iliwasaidia kuwapangieni Zalan walau mkapita kuja round ya kwanza.Vinginevyo mlikuwa mnaumaliza mwendo kwenye preliminary stage.Simba apewe heshima yake linapokuja swala la mechi za kimataifa.kimataifa umechukua kombe lipi,vitim ambavyo mikia mmecheza navyo ni vya kawaida sana,kama huamini,droo ipangwe mzee baba arafu uone mlango wa kutokea.utabisha ila huo ndio ukweli.