Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Kwa mawazo yako Yanga anamfunga Simba kwa njia sahihi za kimchezo? Mbinu anazitumia hapa kwa vile huko nje haziwezekani ndio maana ana ambuliq aibu tupu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
 
Na muombe sana tusiwafunge tarehe 23 maana mtapoteana na huyo profesoli wa kizaramo mtamtimua hawezi akawa profesori kwa ihefu ila akienda nje ya nchi anashindwa ...watani mmekwama sana ... Kwa nabi ..nabi na sijui aziza kii hatoki mtu .....wapiiiii sasa tambo zenu mavyura nyie.
 
Simba wanatamba kwa yanga kuwa , yanga kimataifa hamna kitu lakin simba kimataifa wamewekeza, yanga huwa wanajibu kwamba na wao huwa wanawabomoa mara nyingi wakikutana. Hapo wanasimba watajibu "mlichobakiza ni kuwekeza kuifunga simba tu lakini kimataifa hamna kitu" hapa huwa najiuliza INA maana simba wamekata tamaa kabisa za kuifunga yanga mpaka wanaishia kujibu ivyo.
 
Unawaonea Ihefu, maana hao wamefungwa mara chache kuliko makolo
 
Simba haikuanzishwa ili kuifunga yanga
 
Nimezingatia hapo kwenye full time.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata tufike fainali ya cuf tukafungwa siumii kama tukifungwa na simba,
Raha yangu nione tunamchapa simba mengine ziada.
Nimfunge al ahaly afu nije nimzomee simba? Haina ladha hiyo.
 
Berkane na mazembe na pyramids wanakuwa wapi muda huo...afu kuna plateau pia[emoji23][emoji23]

Ndio kawaida yao hiyo wanakuwa na maneno mengi kama wanacheza uwanjani peke yao vile.

Halafu inaonekana wengi hawajui vizuri hayo mashindano

Unakuta hapo hata hao berkane atakuambia tunawafunga tu.na wakati hao berkane ndio mabingwa wa supercup wanajua hatari sana hao watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…