Nawewe nunua Ili uchukue vikombe, kama vinauzwa. Simba anatandikwa na Yanga tangu miaka ya 60' mpaka Leo bado una amini Yanga ana nunua!!![emoji1][emoji1]
Kwahiyo Simba hachukui vikombe ,Ila yanga ndie pekee anachukua vikombe.
Ujue nyie watu wa yanga aliyewaroga sijui amezikwa wapi ,juz tu hapa Simba kachukua mfululizo Mara 4 nyie mlikua wapi?
Mchezo wa mpira kufungana ni kawaida ,yaan unavyoongea kana kwamba Simba hajawah mfunga yanga .
Juz nilikua bar nachek game yenu na nilikua upande wenu Ila Kuna mwamba aliniambia Hawa watu sio wa kuwapa campan coz Wana kimdomo sana ,Sasa naendelea kuamin maneno yake.
Kipind yanga anapigwa pale kigoma ilikua ni miaka ya 60?
Mshaoga magoli ya kutosha toka kwa Simba lakin hayo huwez sema.
Hata ulaya timu kubwa inafungwa na kibonde huo ndio mpira,yaan unataka kuaminisha watu kuwa yanga anamfunga Simba kila wakikutana as if Simba hamfungi yanga.
Punguzen hasira ndio maana ni Zaid ya miaka 24 hamjagusa makundi sabab ya kimdomo chenu.
Mafanikio ya yanga ni kumfunga Simba tu ,mkienda kimataifa mnagongeka tu.
Sasa mnaenda shirikisho na huko hamtoboi kenge nyie