Arafu mbona Simba turishapangwa na Al Ahly na tukaongoza kundi retu Muraa.Hayo mengine ni porojo zenu Uto kujipa matumaini,ishukuruni sana CAF iliwasaidia kuwapangieni Zalan walau mkapita kuja round ya kwanza.Vinginevyo mlikuwa mnaumaliza mwendo kwenye preliminary stage.Simba apewe heshima yake linapokuja swala la mechi za kimataifa.kimataifa umechukua kombe lipi,vitim ambavyo mikia mmecheza navyo ni vya kawaida sana,kama huamini,droo ipangwe mzee baba arafu uone mlango wa kutokea.utabisha ila huo ndio ukweli.
Kwani kila siku mnacheza na Simba? Haya Jana mlitufunga ngapi?Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Timu mbovuNdio ulichobakiza hicho, kimataifa wewe ukuwezi.
Endeleeni kununua mechi hapa bongo na kuonga marefa ndio uwekezaji huo mliobakiza.
Mna timu mbovu sana.
Mbona hata prison wanamfunga Simba Kila sikuKama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Wamekalili kweli eti Kila siku wanatufunga kama vichaa vileKwani kila siku mnacheza na Simba? Haya Jana mlitufunga ngapi?
Ha ha eti mwaka wa Tano huu Utopolo waombeweTimu mbovu
1.imesomba makombe yote Tena ulikuwa unayatetea
-ligi kuu
-fa
-ngao jamii
2. Haijawahi kufungwa msimu wa pili huu na takataka yoyote ile
3. Haijawahi kufungwa na makolo hata kwa offside mwaka wa 5 huu
4.ipo kimataifa
This is pure jokeHifadhini hii kauli, utopolo ataenda kucheza makundi kwenye confederation na atafanya vizuri.
Sio mbaya tunaenda na slogan hiyo kule confederationHii mijitu ya hovyo sanaView attachment 2389650
Huwezi kufanya uwekezaji kwa ajili ya kumfunga Yanga. Simba kufungwa na Yanga hakuondoi ubora wa Simba ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, na Yanga kumfunga Simba hakufanyi Yanga kuwa bora ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Yanga mlifail sana kwa kuchukulia game ya Simba ndio kipimo chenu cha ubora kimataifa. Endeleeni kufanya uwekezaji mzuri mtafikia alipofika Simba kimataifa ila mkiendelea kuleta porojo mtaishia nbc premier league tu.Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Timu mbovu
1.imesomba makombe yote Tena ulikuwa unayatetea
-ligi kuu
-fa
-ngao jamii
2. Haijawahi kufungwa msimu wa pili huu na takataka yoyote ile
3. Haijawahi kufungwa na makolo hata kwa offside mwaka wa 5 huu
4.ipo kimataifa
This is pure joke
Huko confederation unaielewa sheria yao?
Timu kubwa inacheza na timu ndogo na timu ndogo inaanzia nyumbani.
Chukulia Pyramid apangwe na Yanga, Yanga hata ashinde home bao 2 bila ila akienda Egypt anapasuka si chini ya goli 4
Muda utatuambiaThis is pure joke
Huko confederation unaielewa sheria yao?
Timu kubwa inacheza na timu ndogo na timu ndogo inaanzia nyumbani.
Chukulia Pyramid apangwe na Yanga, Yanga hata ashinde home bao 2 bila ila akienda Egypt anapasuka si chini ya goli 4
Sikiliza Sports HQ muda huu yupo Mwinyi Zahera live anakiri kuwa Yanga imecheza hovyo zaidi ilikosa intensity na optional tacticsMkuu hao kukuelewa kazi sana yaani wanafikiria huko ni kucheza na ihefu.
Hao wakikutana na berkane wataomba poo.
Ila watakuambia berkane ndio nani tutapiga wote yaani niwakuwaacha tu wajionee wenyewe,wanafirikia maneno yatawasaidia,halafu inaonekana vitu vingi hawajui kuhusu haya mashindano
Nawewe nunua Ili uchukue vikombe, kama vinauzwa. Simba anatandikwa na Yanga tangu miaka ya 60' mpaka Leo bado una amini Yanga ana nunua!!![emoji1][emoji1]
Sikiliza Sports HQ muda huu yupo Mwinyi Zahera live anakiri kuwa Yanga imecheza hovyo zaidi ilikosa intensity na optional tactics
Mwinyi Zahera anasema Azam walicheza vizuri mara 10 kuliko Yanga
Haya maneno yangesemwa na Jemedari watu wangesema huyo critic tunamjua anachuki na Yanga, haya na Mwinyi Zahera mtasemaje?
Ushapagawa wewe kwamba Simba haijawahi kuifunga Yanga mwaka wa tano mfululizo.Nusu fainali ya FA ulipokula 4-1,Fainali ya FA Kigoma ulivyobagazwa 1-0.Huko kimataifa mmeshuka kombe la losers ambako nako mnatolewa kwenye playof.Timu mbovu
1.imesomba makombe yote Tena ulikuwa unayatetea
-ligi kuu
-fa
-ngao jamii
2. Haijawahi kufungwa msimu wa pili huu na takataka yoyote ile
3. Haijawahi kufungwa na makolo hata kwa offside mwaka wa 5 huu
4.ipo kimataifa
Unataka kusema ni kweli kabisa simba hamna mpango wa kuifunga yanga ila target yenu ni kimataifa huo ni uongo. Tuwe wakweli mimi pia nakubali simba kimataifa inafanya vzuri kuliko yanga , naww km shabiki uliyekomaa ungekubali tu simba haiwezi yanga kiuwezo pale wanapokutana , kuendelea kubisha hilo ni kuonesha bado ni shabiki maandaziMpira ni biashara watu wanaweka malengo makubwa penye mpunga wa maana .
Yaan unaleta ujinga kwenye biashara .
Wewe mkamie Simba upate Cha kuwazugia mashabik vilaza wa utopolo Simba anakomaa kwenye pesa ndefu .
Akil kichwan .
Unataka kusema ni kweli kabisa simba hamna mpango wa kuifunga yanga ila target yenu ni kimataifa huo ni uongo. Tuwe wakweli mimi pia nakubali simba kimataifa inafanya vzuri kuliko yanga , naww km shabiki uliyekomaa ungekubali tu simba haiwezi yanga kiuwezo pale wanapokutana , kuendelea kubisha hilo ni kuonesha bado ni shabiki maandazi
Kumfunga mrembo wetu simba inanoga ndo ubavu wetu wa kushotoHuwezi kufanya uwekezaji kwa ajili ya kumfunga Yanga. Simba kufungwa na Yanga hakuondoi ubora wa Simba ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, na Yanga kumfunga Simba hakufanyi Yanga kuwa bora ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Yanga mlifail sana kwa kuchukulia game ya Simba ndio kipimo chenu cha ubora kimataifa. Endeleeni kufanya uwekezaji mzuri mtafikia alipofika Simba kimataifa ila mkiendelea kuleta porojo mtaishia nbc premier league tu.
Kwaiyo mazembe alivotoka huwa ananunua mechi hilo KongoKama hanunui mechi mbona mmeshindwa kuingia kwenye ligi ya mabingwa badala yake simba imeenda kuwawakilisha,
Simba hainunui mechi ndio maana inafungwa,
Sasa dunia ya Leo ukinunua mechi unajidanganya mwenyewe tu, kama yanga