mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Yenge imewekeza pia kwenye bahasha, tatizo kwenye kimataifa siyo rahisi!! Hapa bongo ndo zao!!Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Kwaiyo mazembe alivotoka huwa ananunua mechi hilo Kongo
Au nyie Simba mlivochukua ubingwa miaka 4 huwa mlinunua marefa
Hivi nyie mashabiki mandazi mna akili gani kubali Yanga tulikuwa bora msimu uliopita kuwazidi ndo maana tukawa mabingwa

Ndio kawaida yao hiyo wanakuwa na maneno mengi kama wanacheza uwanjani peke yao vile.
Halafu inaonekana wengi hawajui vizuri hayo mashindano
Unakuta hapo hata hao berkane atakuambia tunawafunga tu.na wakati hao berkane ndio mabingwa wa supercup wanajua hatari sana hao watu.
Kama wamewekeza kwenye midomo mbona huwa hamtufungi?
Kwaiyo mazembe alivotoka huwa ananunua mechi hilo Kongo
Au nyie Simba mlivochukua ubingwa miaka 4 huwa mlinunua marefa
Hivi nyie mashabiki mandazi mna akili gani kubali Yanga tulikuwa bora msimu uliopita kuwazidi ndo maana tukawa mabingwa
Hapa ndipo akili zenu utopwinyo zimeishia...mnasajili kwa ajili ya Simba tu..Kama Yanga imewekeza kwenye porojo isingekua inakufunga kilasiku, na nyie tieni porojo tarehe 23 mu mfunge Yanga[emoji1][emoji1]
Kuna aliyehifadhi hii kauli?Hifadhini hii kauli, utopolo ataenda kucheza makundi kwenye confederation na atafanya vizuri.