Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

Aiseeeee Jamaa alikuwa anakula MADEMU wa OYSTERBAY 😳😳😳😳.
Hahahhaaaaa wewe kweli kichwani zimo fasta akili ika think K.. za osterbay kuwa hazivuji kila mwezi. Fatsa kuwa kama zinavja basi lazima huwa wana spare K wanabadili. Yaani Fasta fasta . Nyie ndio wakuwapa UdC kichwa kiko fasta hususani mambo ya K hukawii kuja na hoja ya viwanda vya K
 
Naona watu wanalazimisha uongo kuwa ukweli ili kutimiza ule msemo wa “ukitaka kumwua mbwa mbatize kwanza jina baya”

Wanapandikiza UONGO kwenye vichwa vya wasiotafuta ukweli

yani kweli wewe akili fupi 😂😂😂 unasapoti hyo msg ya juu na umeshindwa kuelewa kuwa inakupinga wewe 😂😂😂😂

ngoja basi nikutafsirie alichomaanisha

amemaanisha kuwa kwasababu huyo fiesta mnataka kumuuwa kwahyo kika baya mnambambikia yeye ili hata mkifanikisha kumuuwa kuwe hakuna lawama

wewe jamaa uko na akili ndogo sana kama uongo unaolazimsha watu wauamini 😂😂😂
 


True kabisa, na mwana last time alipanda Fiesta ya mwaka 2016 Shinyanga... na kwa sasa makazi yake ni Shinyanga aliamua kurudi home kabisa akaoa na kuanza maisha mapya pale shinyanga huku akifanya mishe zake na za mzee wake Mzee Ngarame
 
Inamaana Unapingana na Muhusika...
Chanzo changu ni Muhusika wewe umehadithiwa...
MBONA hutaki kusema ilikuwa show ya nini?
Ilifanyika wap?
Msipende kuwa mawakala wa Shetani.....
 
kuna watu wanasema kuwa eti mleta mada ni babu tale 😂😂😂😂
Tatizo unasikiliza watu...
Hao watu ndio wanakwambia sema hivi...nia na madhumuni yenu nikupotosha Uma na kuficha maovu kwakutetea Matumbo yenu
 
huyo jamaa ni shida.... yani hata hajishtukii kwenye huu uzi watu kibao wanajuana na sandra ringo demu wa noorah aliyepata naye ajali na wanamuelezea jinsi ajali ilivyotokea yeye anabisha tu
WEWE hizo Habari za Sandra anzisha Uzi wako.Mimi najuana na Noorah naemwongelea hapa....
Mnajadiri mje mpoteze vipi ukweli huu.....
Vaeni Utu Vueni Viatu
 
Inamaana Unapingana na Muhusika...
Chanzo changu ni Muhusika wewe umehadithiwa...
MBONA hutaki kusema ilikuwa show ya nini?
Ilifanyika wap?
Msipende kuwa mawakala wa Shetani.....
pointi ni kwamba alipata ajali kazini au lah.... haijalishi alikuwa ametoka kufanya show ya nani au show gani

tunachojadili ni nature ya ajali mzee baba mbona unakuwa hutaki kuelewa

unataka kusema alipata ajali akiwa kwenye tour bus ya fiesta au on stage au akiwa anaelekea kufanya show hell NO.... he was on his way back home

alipata ajali akiwa na rav 4 akiwa anamrudisha sandra kwao
 
Tatizo unasikiliza watu...
Hao watu ndio wanakwambia sema hivi...nia na madhumuni yenu nikupotosha Uma na kuficha maovu kwakutetea Matumbo yenu
sijasikiliza mtu nimeandika ukweli ninaoujua ambao ndio ukweli halisi na karibia asilimia 99.99 ya watu humu wameusapoti huo ukweli niliondika

asilimia 0.01 iliyobaki ni wewe
 
MBONA UNARUKA RUKA KAMA CHURA MALAYA.....?
Sema ilikuwa show ya nn
Nausiniletee upuuzi mwngne...
Nani waliandaa show hizo....?
Mkataba ulikuwaje?
Ukikataa mkataba nini matokeo yake?
Ukihoji unajua walichokuwa wanakifanya hao unaowatetea?
 
Wewe jamaa Muongo sana. Baba Stylz hakupata ajali kipindi cha fiesta. Ninachojua alipata ajali pale mbuyuni Oysterbay akiwa anatokea Bilicanas. Na sababu ya ajali yalikuwa mabishano yake na mpenzi wake. Mpenzi wake alikuwa anataka waende maisha club huku noorah akitaka waende nyumbani. Kilichotokea yule dada akaweka gear kwenye "P" galfa, gari walokuwa wanatumia ilikuwa auto. Wakapata ajali na akakimbizwa Muhimbili. Baada ya kuzinduka akawa anakumbuka wimbo mmoja tu wa Hawa Mademu Vipi. Akapewa mida wa kupumzika ili akili ikae sawa. Kipindi hicho alikuwa anakaa Makumbusho. Kutokana na kuumwa akahamia kule kwa Ali Maua jirani na akina Roy producer.

Kwanza umedanganya haikuwa Fiesta kipindi hicho bali ilikuwa inaitwa Straight Music Klimax full shangwe. Wadhamini waki wa sigara ya SM.

Noorah hakuwa kwenye orodha ya wasanii hata Mr Nice hakuwepo. Aliyekuwa kwenye orodha kwa upande wa bongo fleva ni Albert Mangwea ‘Cow Boy’, Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’, Mr.Blue ‘Kabaizer’ Prof Jizey na maswahiba wawili AY na Mwana FA.
 
sijasikiliza mtu nimeandika ukweli ninaoujua ambao ndio ukweli halisi na karibia asilimia 99.99 ya watu humu wameusapoti huo ukweli niliondika

asilimia 0.01 iliyobaki ni wewe
Nasiku zote ukweli unamaadui wengi kuliko rafiki....
Mmeitana tiny zenu zote mje kupotosha Lengo la Uzi huu....
HIVI KWANINI HAMKULISEMA HILI KABLA,
Nimeanzisha Uzi huu mmejaa kujifanya mnamjua Sandra sijui....
Alikuwa anasoma Kenya Mara ya kwanza umeandika. ...
Mara Uganda sijui.....
HaMtaki kusema ilikuwa show ya nini,wap na kwanini. ...
Mmeanza kumdharirisha alikuwa kalewa. ...katolosha mwanafunzi....
Namambo mengine ili Malik aendelee kuumia
 
Oy BabuTale niaje, umeadimika aisee nilikustua juzi pale Nangwanda ukanipotea
 
Duu!!!!😨😨😨mnazidi kuitana....nyie watu....mmedhamiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…