Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus


Huyo jamaa inabidi mchango wake utambuliwe na kupewa shahada ya heshima ya B. W. Mkapa.
 
nipo hapa ilikuwa bumu likitoka lazima nimpeleke manzi wangu wa kichagga kula Hill Park, bumu likikata naenda kwa Bwashee pale Coet cafteria elfu 25 nakula bure semester nzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Me ilikuwa daily ...
Boom, boy friend kibopa na mzazi alikuwa ananipatia za kutosha. Hata salary haijawah kufikia ile amount
 
Udbs wanasoma miaka minne siku hizi?
 
Me ilikuwa daily ...
Boom, boy friend kibopa na mzazi alikuwa ananipatia za kutosha. Hata salary haijawah kufikia ile amount
Sio ndio mm boyfriend wako niliyekuwa nakupeleka Hill Park sikuwa kibopa nilikuwa naigiza tu nawe ukaamini😂😂
 
Ha ha ha ha ha
 
UDSM mambo ya exile, hall six nimetoka zangu kusoma kumbe mate wangu ana demu ndani, nilivyofika ninagonga mlango akafungua akatoka nje akaniomba nitafute pa kulala nikammaindi sana kwasababu hakunieleza kabla ili nijiandae kisaikolojia...nikawagongea washkaji wakaelewa.Mimi nilimpiga exile ya wiki moja kwani nilitoa demu mkoa kabisa. Uzuri alikuwa mtoto wa mama kwao Dar hivyo akawa anaenda na kurudi. 2003/4-2006
 

mwaka gani.maana kulikuwa kuna mdada mmoja alijifanya kuwa anauza nguo .

nilikuwa namuona sana karikoo agrey.siku nipo mlimani ndio naona picha yake kumbe kajizi ka laptop
 
Daah Kweli Time flies I remember those good old times!! Viva hall 5, 6 & hall 2! Damn it was a time to remember 2009!!
Mkuu mimi nilikaa hall 4 na 6 kwa miaka mitatu, yaani hall 4 ni hadhi ya masaki na obey, hall 6 ni hadhi ya upanga au mbezi beach, hall 5, 2 ni hadhi ya tandika, yombo na buza na hall one at least kama manzese na migo migo hivi
 
Duuh ulimpeleka uhamishoni wiki,we kweli nyoko😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…