Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

NJAAAAAAAAAAAAAAHHHHHH!!!!!
 

kumbe yule mzee alikufa, alikuwa anagonga ma force na tension kama yote, code ya lile somo sijui ni ME ngap ile
 
Na mliolala auxiliary police kwa kukutwa na wasichana au wavulana baada ya saa sita usiku mjitaje pia msione aibu [emoji1]
[emoji3516]
KUNA AUXILIARY WANOKO SANA!!!

YAANI IKIFIKA SAA SITA KASORO USIKU, WANATEGA PALE BLOCK "G",
ILI WAKAMATE WANA WANAODUFUANA DENDA PALE PARKING!!!

MABAIBO CAMP.
 
Nani kakuambia kila asiyesoma UD ana ufaulu mdogo kaka? Unakosea sana, sasa kam mpaka div 3 wapo wanaosoma UD, sasa mimi nikihitaji kwa nini nishindwe? Hoja dhaifu hiyo bro, pia hujui nasomea kozi gani na hujui kama hapo UD ipo au haipo.
[emoji3516]
MKUU,
KWEMA KABISA HAPO TEKU, KAMPASI YA RUKWA?
 
Hapo pa vyuo vya uchochoroni kaka naomba nikupinge kidogo, si vyuo vyote ukiacha UD ni vya uchochoroni. UD ni chuo cha zamani(kikongwe), ila haimaanishi vingine vyote vipya baada yake ni vy uchochoroni.
[emoji3516]
MKUU,
HAMA HUU UZI.

NENDA KATAFUTE UZI WA MAKUMIRA HUKO MKAJADILIANE MLIVYOKUWA MNABEBA UFAGIO NA DUMU LA MAJI CHUONI.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Hahaaa mkuu . Umenikumbusha Kuna watu walikuwa wanakulana uwanjani pembe I kwenye miti. Sasa nikawanyatia naona demu kakaa juu ya msela Kama kampakata hivi afu demu anakatika. Mimi nikavunga nipo bize na simu. Badae naona demu avaa chupi harakaharaka. Mara mda kidogo wakainuka na kusepa. Bwana ee nikapita maeneo walipokuwa nikakuta elfu tano . Nilicheka nikasema wasenge wamelipia gesti.
 
Alikuwa mwanao?? Jamaa ana roho ngumu na nusu aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa mwaka wa ngapi yalivyokutokea hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Block D 2006 tujuane.

Nilikuwa na kadem ka sociology kalikua kanakaa Block A.

Basi ulikuwa mwendo wa kuchedana tu.

Popote ulipo Rose B, mueleze ukweli mumeo Mimi memento ni nani
Block D na E mlikuwa walevi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani anamkumbuka yule rasi muuza peni pale yombo.

Kisha akapotea gafla....

Nan anakumbuka ile siku ya upepo mkali plae hall 2 na hall 5 paka jengo likatimgishika... watu wakatoka na vichupi nje.
 
Mmenikumbusha enzi sijui za dokta nani daa.
Nakumbuka mbali sana ilikuwa mwaka 2021 ndo nimemaliza juzi aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…