Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

Odong nae alikuwa na nyota mganda yule! Kipindi cha kunji kabla hatujatimuliwa ilikuwa usiku main campus mtu anapiga ile 'Odooooong' kutokea hall five, sauti zinajibu kutoka hall 2 , 'Odwaaaaaaaaa', hahahaaa, ilikuwa burudani sana. Wakaja kumpiga deportation ya saa 24 naskia, wakamrudisha kwao kwa Idd Amin, na sijui ana udugu nae, maana alikuwa copy right na Idd Amin [emoji1787][emoji1787]
NJAAAAAAAAAAAAAAHHHHHH!!!!!
 
Kuna jamaa nilikuwa nakaa naye room alikuwa mbishi sana wa kupigika exile yaani hata aone mnashikana shikana na demu yy ajiongezi anajifanya anakura vitu vya Dr Lwambuka (R.I.P) ,ukimwambia akupishe hataki ikabidi siku moja nitafune demu mbele yake lakini mchizi akakaza tu duuh kuna watu wana roho ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]

kumbe yule mzee alikufa, alikuwa anagonga ma force na tension kama yote, code ya lile somo sijui ni ME ngap ile
 
Na mliolala auxiliary police kwa kukutwa na wasichana au wavulana baada ya saa sita usiku mjitaje pia msione aibu [emoji1]
[emoji3516]
KUNA AUXILIARY WANOKO SANA!!!

YAANI IKIFIKA SAA SITA KASORO USIKU, WANATEGA PALE BLOCK "G",
ILI WAKAMATE WANA WANAODUFUANA DENDA PALE PARKING!!!

MABAIBO CAMP.
 
Hapo pa vyuo vya uchochoroni kaka naomba nikupinge kidogo, si vyuo vyote ukiacha UD ni vya uchochoroni. UD ni chuo cha zamani(kikongwe), ila haimaanishi vingine vyote vipya baada yake ni vy uchochoroni.
[emoji3516]
MKUU,
HAMA HUU UZI.

NENDA KATAFUTE UZI WA MAKUMIRA HUKO MKAJADILIANE MLIVYOKUWA MNABEBA UFAGIO NA DUMU LA MAJI CHUONI.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Umenikumbusha mbali Sana mkuu. Kwa sisi wapenda gospel Basi kule mabibo hostel uwanjani palikuwa hapatoshi! TuliPiga maombi Sana usiku, ila Kuna watu walikuwa wanagongana hadharani huko mida ya usiku! Kuna inshu iliibuka baadae kwa jina la "Muamala" sijui Nani anakumbuka?
Hahaaa mkuu . Umenikumbusha Kuna watu walikuwa wanakulana uwanjani pembe I kwenye miti. Sasa nikawanyatia naona demu kakaa juu ya msela Kama kampakata hivi afu demu anakatika. Mimi nikavunga nipo bize na simu. Badae naona demu avaa chupi harakaharaka. Mara mda kidogo wakainuka na kusepa. Bwana ee nikapita maeneo walipokuwa nikakuta elfu tano . Nilicheka nikasema wasenge wamelipia gesti.
 
Kuna jamaa nilikuwa nakaa naye room alikuwa mbishi sana wa kupigika exile yaani hata aone mnashikana shikana na demu yy ajiongezi anajifanya anakura vitu vya Dr Lwambuka (R.I.P) ,ukimwambia akupishe hataki ikabidi siku moja nitafune demu mbele yake lakini mchizi akakaza tu duuh kuna watu wana roho ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa mwanao?? Jamaa ana roho ngumu na nusu aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa nilikuwa nakaa naye room alikuwa mbishi sana wa kupigika exile yaani hata aone mnashikana shikana na demu yy ajiongezi anajifanya anakura vitu vya Dr Lwambuka (R.I.P) ,ukimwambia akupishe hataki ikabidi siku moja nitafune demu mbele yake lakini mchizi akakaza tu duuh kuna watu wana roho ngumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa mwaka wa ngapi yalivyokutokea hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Block D 2006 tujuane.

Nilikuwa na kadem ka sociology kalikua kanakaa Block A.

Basi ulikuwa mwendo wa kuchedana tu.

Popote ulipo Rose B, mueleze ukweli mumeo Mimi memento ni nani
Block D na E mlikuwa walevi sana 😂😂😂😂
 
Nani anamkumbuka yule rasi muuza peni pale yombo.

Kisha akapotea gafla....

Nan anakumbuka ile siku ya upepo mkali plae hall 2 na hall 5 paka jengo likatimgishika... watu wakatoka na vichupi nje.
 
Mmenikumbusha enzi sijui za dokta nani daa.
Nakumbuka mbali sana ilikuwa mwaka 2021 ndo nimemaliza juzi aiseee
 
Back
Top Bottom