Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

UDSM sasa hivi hamna kitu aisee. Rev Square pamepandwa maua na yamestawi vizuri kabisa.

Hata watoto walioko UDSM sasa hivi hawajui kama pale panaitwa Rev Square.
Kmmk
Dah watoto hawatojua ile wanaita
Revoluutionn...wanaitikia...for changes... hehe...ilikuwa inafurahisha
 
Mikasa ya masela kuuawa Mabibo kwa kuitwa wezi na mademu zao baada ya kufumaniwa, mademu wa Block A na B.
 
Prof. Kadeghe na somo lake la CL106 communication skills, mpaka wazungu lugha ya kwao lakini walikuwa wanashikwa
Huyo fala kidogo anikerishe Cl 108,sema nikatumia mbinu flani za kijasusi sikukeri.jamaa alikua ana misifa eti anajisifu semester hii lazima nikerishe shato 5 za mabibo na 5 za campus.
 
Duh..umesoma zamani sana mkuu?sie kipindi chetu maji hayakua shida wala
 
Bertha mwarabu...sura ya upole, mwanakwaya mzuri wa TYCS, nilikuwa course moja naye,...ila Musiba akaleta msiba.
 
Unakuta mtu anatoa story anamuita mwenzake watoto wa leo
Kweli humu JF tuko na watoto wetu kabisa
Mimi hata hiyo Mabibo hostel najua maeneo lakini enzi zetu tunamaliza UDSM 1990 haikuwepo
Ila kijana wangu ninashukuru nimepata somo kuwa watoto wetu hasa wa kike wakija huko mitihani na magumu wanayokutana nayo ni mengi nimeumia sana kwa huruma.
Bahati nzuri sina mtoto wa level za huko walishakatiza ila sasa kwa wajukuu zangu nitakaza fuvu hakuna cha kukaa chuo na ada nalipa mwenyewe sitaki mtu asome kwa boom la kusimangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…