Tukumbushane tulikotoka

Aise nakumbuka sana mengi, kwangu ugonjwa ulikuwa (mziki na mpira) breakdance wakati huo ilichukuwa hatamu sana, kuvaa kama boogaloo na mapanki na masuruali yana mazip mamifuko na raba hasa (converse), vi sing lend na nini, ila tatizo langu kubwa hapa ilikuwa kupenda football sana, nasikitika mpira ulinifanya nisiwe na uhusiano na wasichana kabisa! Uwanja wa taifa kwangu kwenda tazama mechi ilikuwa kama kawa..Hahahahaha..hatari kabisa
Breakdance, the spirit of the 80s 3 via YouTube
 
Break dance Pemba brothers wa Upanga waluvuma sana,
 
Naona hapo wameitwa wazamaniii[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Yaani hizi ndiyo enzi Freeman anaweka curlkit tunakwenda disco Mbowe Hotels, disco jingine kulikuwa Mawingu lakina Kusaga
 
Yaani hizi ndiyo enzi Freeman anaweka curlkit tunakwenda disco Mbowe Hotels, disco jingine kulikuwa Mawingu lakina Kusaga
Kabisa kabisa, kaka yake Charles anawamaliza viumbe wazuri, Chris Phabby, Joe Johnson (holela), n.k. n.k. ilikuwa hatari..
 
Vingi
Rays,ashanti,sky way shoes,cinema za bure,ujio wa fm radios,video,
 
Tulianza kuona deodorant za Fa madukani na mafuta ya Vaseline. Kabla ya hapo tulitumia mafuta ya Asher's yalitengenezwa Tanga
Duj,nimeita Ashanti.[emoji144][emoji144][emoji144]
 
Afadhali DH mkuu msure alinipeleka sukari la BORA kununua raba flani tuliziita ngalawa. Kwakweli niligoma vibaya sana
Kuna viatu vyeus vya plastic tulikuwa tunaita saa 7 utanikoma saa 8 utanivua.
Then soks za pundamilia
 
Afadhali DH mkuu msure alinipeleka sukari la BORA kununua raba flani tuliziita ngalawa. Kwakweli niligoma vibaya sana
Dada wewe wakitambo sana, sijui hata kimoja hapo juu
 
Afadhali DH mkuu msure alinipeleka sukari la BORA kununua raba flani tuliziita ngalawa. Kwakweli niligoma vibaya sana

Sisi wengine ni watoto wa juzijuzi Enzi za sky way,mammy's,Chachacha na Suruali za Tokyo bila kusahau bahama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…