jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Aise nakumbuka sana mengi, kwangu ugonjwa ulikuwa (mziki na mpira) breakdance wakati huo ilichukuwa hatamu sana, kuvaa kama boogaloo na mapanki na masuruali yana mazip mamifuko na raba hasa (converse), vi sing lend na nini, ila tatizo langu kubwa hapa ilikuwa kupenda football sana, nasikitika mpira ulinifanya nisiwe na uhusiano na wasichana kabisa! Uwanja wa taifa kwangu kwenda tazama mechi ilikuwa kama kawa..Hahahahaha..hatari kabisa
Breakdance, the spirit of the 80s 3 via YouTube
Breakdance, the spirit of the 80s 3 via YouTube