Tukumbushane tulikotoka

 

Attachments

  • zilipendwa.jpg
    53.7 KB · Views: 38
  • zilipendwa.jpg
    53.7 KB · Views: 30
  • zilipendwa.jpg
    53.7 KB · Views: 25
umenikumbusha kwenda sinema kuangalia picha za kihindi na kuimba uongo kama wao daah enzi zile

unavaa chacha na soksi unakwenda shule
huku umepaka mafuta ya shanti kutoka Kenya yanachafuaje ukivaa sketi nyeupe
huku umebeba kidumu chako na fagio unawahi namba shule
siku hizi hakuna mchakamchaka wala kuwahi namba
 
Sisi boarding tulikuwa watoto wa Dar tulijulikana kwa nyodo lakini enzi za mchacho tulikuwa wanyonge ukipata pafu la shanti asubuhi unapiga
 
Kuna viatu vyeus vya plastic tulikuwa tunaita saa 7 utanikoma saa 8 utanivua.
Then soks za pundamilia
Mwisho saa sita...saa nane utanikoma [emoji38] [emoji38]
 
Reactions: SDG
[emoji23] [emoji23] umenikumbusha yale mafuta ukivaa siku mbili sketi nyeusii
 
Tumetoka mbaliiiiii kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…