NN, kumbe na wewe mtataAh hayo ndo yalikuwa mambo yangu.
Nilikuwa natembea na mkia wa taa muda wote.
Kila mimi na washikaji tukienda kwenye mechi lazima nilianzishe.
Ila nilikoma pale siku moja Wamakonde waliokuwa wanakaa kama walinzi kwenye nyumba ya jirani waliponilia timing wakanipiga jiwe juu ya hicho baada ya kumvuruga kaka yao.
Kama lile jiwe lingeshuka chini kidogo ya nyusi basi leo hii ningekuwa na chongo.
Ila niliipata maana uchokozi wangu wote ulinitokea puani.
Ha ha ha ha mzee haka kamwil kafaida kananipa sana point maeneo fulan naonekana mtoto mwenzao...[emoji3][emoji3][emoji3] mzee itabidi na mimi nikutafute nikuonee
Pole aseeKuna siku nilikuw nimeenda club bn..
Nikatumia bapa za kutosha mpk akili akiwa sio yangu tena. Pembeni angu kulikuw na mrembo , kama kawaida yetu nikamfata bana. Kumbe alikuw na jamaa ake
Yule jamaa ake akanikazia kidg, nikaona isiwe tabu bn nikamtia kitasa
Kumbe jamaa alikue na kundi lake kam la watu 12 iv. Wakanivamia, nahic nilikula scale kubwa zaid ambayo cjawahi kuipata tangu nianze vurugu mpk nikakata moto.
Nimekuja kustuka saa 10 alfajir nipo mtaroni tena mvua ndo ilikuw imeanza kunyesha.
Siku ile siwezi kuisahau mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha kasema hapend kuchokozwa kwenye wezere lake acha nmchokoze tuHalafu linaonekana lipo....
Mwambie Anisemeshe basi
[emoji23][emoji23] eti disco likafungwaaaNilipewa pass ya kwenda kung'oa jino Mawenzi hospital, ilikuwa Ijumaa niliamua kuingia disco lakaa ya kutudi shule J'mosi. Sasa kulikuwa na wavulana wawili wananifukuzia kheri si nikawakuta wote ndani, kila mtu anataka kuwa na mimi ugomvi disco lilifungwa.
Moshi si kuwa ninajulikana vijana walitaka sana kumjua manzi aliyesababisha disco kufungwa na police kuingilia, wakati huo nilishachukua tax na kutokomea.
Ungelipa.. mim ilikuwa kama sikuwezi natumia mawe au wembe
Ha ha ha ha mzee si mtoto mwenzao wananionaHaa nyie ndiyo mnsotumaliizia watoto wetu wa la saba
Ha ha ha Vagi huku wezere linatingishka mie ntakua nakuangalia tuAsije akaanzisha vaagi tu