Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

Gwamaka Kahiula - Upanga Kalenga
Paul Mathysse- Masaki
Miraji Kikwete - Mikocheni
Langa Kileo- Mikocheni
Joachim Kimario - Masaki.
 
Nimrod Nkono-son
Huyu Namruthi bini Kiganja huwa nasikia story kuwa " enzi za Mwlm alichota mihela mingi sana BOT,walipotaka kwenda kufanya auditing...mzee akaichoma bank na nyaraka zote zikaungua then akatimkia mamtoni,aliposikia mchonge ameenda to the point where there is no return na yeye akarudi
Pia,inavyosemekana ni miongoni mwa wanahisa wakubwa sana wa club ya Manchester united (kwa hyo miongoni mwa watu waliowekeza fedha zao ndani ya hyo club ni pamoja na yeye) so,watu wakisema mwanae ni mtoto wa Kishua siwezi kukataa kwa ushahd huo!
 
Hivi mkuu ni ishu gani iliyomtajirisha Super nyamwela? Ni muziki tu?
Wakuu,mnamzungumzia super Nyamwela yupi? Yule mkata viuno wa Twanga au? acheni maskhara wazee,miaka ya hiv karibuni nilishawah kuongozana naye toka Manzese big brother mpaka kwenye jengo la blue pearl Ubungo jamaa hakuwa hata na leso plus ufupi plus weusi plus kupauka halaf leo kumbe ana mapene uncountable..., kweli life has no formula na Mungu ambariki huko aliko!
 
muuza ngada huyo...lile duka la nguo pale kino ilikua zuga tu
 
Bonge la Nyau hapanax huyu dogo ana maisha magumu sanax anaregemea kaka ake auze mikoba ya kina mama pale kariakoo ndio alex
 
Mukuu huyu alianza mzik akiwa kapuku kama watu wengne na had saiz maendeleo yake yanategemea muzik na ndo maana anajituma katika mzik
Nafikiri hii ni sifa nzuri sana. Vijana wengi watafaidika wakimchukulia kama role model wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…