DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Usijali mkuu hakuna ndoa ya kizazi cha sasa itadumu mimi sio mchawi lakini[emoji847]Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.
Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.
Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Wanachoshaaaa kuishi nao maana hawaishiwe kerooTupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
😁Tushafika...
Shusheni nondo waungwana..
NDOA kama NDOA.
#YNWA
Kwa hiyo hizo changamoto nyie wanawake ndiyo mnazileta sio?Ndoa sio lelemama, usiishi kihuni kwenye ndoa, pia usiishi kama mfungwa kwenye ndoa, uvumilivu uwepo na uaminifu ni silaha nzito, gubu ni baya hupunguza upendo na upendo ukipungua kifuatacho ni matukio,
Elimu juu ya masuala ya ndoa itolewe kwa pande zote hasa Wanaume wa siku hizi wanaingia ndoani kibubu bubu, wakikutana na changamoto kidogo tu wanakimbilia mtandaoni kuomba ushauri.