DaaahTupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupo wengi mi hata kukaa tu na mke naona kichefu chefu nashukuru yupo mbali huko mi natoa tu huduma kwa watoto wangu yeye aendelee tu na umalaya wake
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo hizo changamoto nyie wanawake ndiyo mnazileta sio?
Ndiyo maana wanaume wanakimbia
Nimekumiss.....Umeoa lini mkuu?
Najilewea mie..karibu..hajambo shem wetu wa jf🤭!Nimekumiss.....
INipasie mmoja ukipata wawiliNatafuta mchumba.....
🤣🤣🤣🤣 Yule muhendisamu sioNajilewea mie..karibu..hajambo shem wetu wa jf🤭!
Dj atawaleta.....,😁Na wale ambao hawakua na ndoa , ila wamejikuta wanalea tuu watoto automatically huku wakijutia wana comment wapi?
hawa ndio wajinga wa mwisho. japo nao wasikilizweNa wale ambao hawakua na ndoa , ila wamejikuta wanalea tuu watoto automatically huku wakijutia wana comment wapi?
Mim hapaINipasie mmoja ukipata wawili