Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

Ndoa ni hiyari iliyo halalishwa na Mungu.
Tena ndoa ni kiapo mbele za Mungu.
Binadamu tumekuwa na kawaida ya kuvunja,
-- ndoa zetu,
--Ndoa za ndugu zetu,
--Ndoa za marafiki na jamaa zetu bila kujali.
Elewa tunafanya makosa makubwa sn mbele za Mungu.

Ni kweli kuwa ndoa inafika mahali inafifia na kukosa mapenzi ya mke na mume.
Lakini ni vizuri zaidi wahusika wakakaa na kujadili jinsi gn wataweza kurudisha mapenzi kwenye ndoa yao,
na sio kuvunja ndoa,
Tena bila sababu za msingi.,,

Talaka sio kitu kizuri ndg zangu,
Kitendo cha mwanaume kutoa talaka,
au mwanamke kuomba talaka,
Ni Sawa na kuvunja ahadi ambayo mliiweka mbele za Mungu kwamba mtapendana kwa shida na raha kwa maisha yenu yote.
Talaka huwa ina kawaida ya kurudi kwa wanandoa na kumuhukumu yule mkosefu,

Kuna mwanamke ambaye yeye ndy chanzo cha ndoa kuvunjika,
Lakini bado anadai talaka kwa nguvu zote,
tena kwa kashfa na vurugu.
Mwanamke huyu hatopata faraja ya ndoa huko aendako.,
Talaka itamrudia na kumchapa haswa.

Kuna mwanaume ambaye yeye ndy chanzo cha kuvunjika ndoa,
Na bado anatoa talaka kwa kosa alilofanya yeye.
Huyu mwanaume hatobaki salama huko aendako.
Talaka itamchapa haswa,
Mwishowe kujutia maamuzi ya talaka.

Talaka unatakiwa uitoe ukiwa upo very calm na sio hasira .
Unahitaji umakini Sana kwenye hili.
Talaka inaweza ikawa ndy mwanzo wa kuvurugikiwa maisha yako au mwanzo wa mafanikio,
Inategemea ni Kwa jinsi gani mmeachana.

Ushuhuda
Nilibahatika kuoa mwanamke fulani mrembo sn miaka 17 iliyopita.
Nikiwa bado kijana mdogo sikuwa na kipato kizuri ,
nilikuwa na kipato cha kawaida cha kuunga unga.
Yule binti alinisumbuwa sn sababu ya uzuri wake.

Nilijitahidi kumtunza kwa kadiri ninavyoweza,,
lakini mwisho wa siku alianza visa na kuomba talaka,
Tena kwa vurugu,
kashfa nyingi,
Alikwenda mbali zaidi na kusema mimi sio type yake,
ninamfuja na kumbana bana ili asiolewe na wanaume wenye pesa.

Alilazimisha talaka kwa matusi na kashfa ,
Alikuwa akitoka asubuhi na kurudi jioni tena amelewa na sijuwi pombe amenunuliwa na Nani,
Nikiuliza atajibu kashfa tupu,

"Nilishakwambiya niache na maisha yng wewe unaning'ang'ania nini?"

Aliponambiya maneno haya nilipata uchungu Sana moyoni
Nikiifikiria ndoa yng bado hata mwaka haijafikia,
Sababu nilikuwa na mapenzi mazito Sana kwake ,
nilishindwa kufanya maamuzi ya haraka,
Kwa kweli nilimpenda sn mke wangu.

Nilijitahidi kuwaeleza wazazi wake tatizo,
Lakini kwa majibu aliyonijibu mama mkwe nikagunduwa ,
hata mama mkwe pia hanitaki niishi na binti yake.
Sababu ya kipato changu duni ,,

Yaani mke wangu nimekuoa kwa mahari halafu Leo unambiye hunitaki?
Kwamba siyo type yako?
Hunipendi tena?

Niliitoa talaka kwa uchungu Sana.

Now ni miaka 17 ya talaka lakini still yupo mitaani anahangaika kupata Mwanaume hata wa kuishi nae store hamuoni.,
Hata mtoto wa dawa hana,
Kapauka kama mguu wa Teja.

Tusipende kutoa/ kuomba talaka kama wewe ndy mkosefu.
Jishushe/ omba msamaha maisha ya ndoa yaendelee..


Sent using Jamii Forums mobile app
Mie bwana naspport kabisa mwanamke mwanamke mzuri kumbwaga mwanaume ambaye kafulia. Yaani kama we ni mwanamke mzuri kweli kweli, tako skonsi utakuwa mjinga kuacha kuolewa na mwanaume mwenye mihela.
Nasema hivyo kwa sababu moja kuu. Ukweli ni kwamba wanaume wengi tukishapata hela tunaanza kugegeda pisi kali na kusahau jinsi wife alivyotuvumilia wakati hatuna kitu.
 
Sasa pisi kali unashindwa nini kutafuta zako na soko unalo? Tumia upisi kali wako na wewe uwe na mkwanja.
Sasa kwani kuolewa na vidume wenye hela sii tayari utafutaji. Mbona sio kila mwanamke anaujasiri huo. Wacha wanawake wazuri waolewenna wanaume wenye ndalama.
 
Ila wenye hela wengi wameoa pisi za kawaida. Huu mtaa ninaoishi ni wa kishua lakini ni mmoja tu kaoa pisi kali. Juzi juzi wamezinguana sababu ya michepuko. Risasi zilirindima wee acha tu. Akili za kuambiwa changanya na zako.
Huyo mwanaume ni bwege na ana wivu wakijinga. Wanawake wamewekwa duniani kuhegegdwa sasa yeye wivu wa nini wakati mkewe anatimiza wajibu wake hapa duniani. Stress zingine ni za kujitakia tuu.

Mara moja moja unamuachia mke anatombanage huko nje apate kujua style mpya na kurefresh mind
 
Huyo mwanaume ni bwege na ana wivu wakijinga. Wanawake wamewekwa duniani kuhegegdwa sasa yeye wivu wa nini wakati mkewe anatimiza wajibu wake hapa duniani. Stress zingine ni za kujitakia tuu.

Mara moja moja unamuachia mke anatombanage huko nje apate kujua style mpya na kurefresh mind
Yaani ni wanaume wanatunishiana misuli. Jamaa alichepuka na mke wa mtu, huyo mwenye mke naye akawa akamla mkewe ili kulipiza kisasi . Baada ya hilo tukio jamaa akamfukuza huyo mkewe ambaye ni pisi kali. Sasa hivi karudi maana ana mtoto mdogo. Ila kawa na adabu sasa hivi.
 
Yaani ni wanaume wanatunishiana misuli. Jamaa alichepuka na mke wa mtu, huyo mwenye mke naye akawa akamla mkewe ili kulipiza kisasi . Baada ya hilo tukio jamaa akamfukuza huyo mkewe ambaye ni pisi kali. Sasa hivi karudi maana ana mtoto mdogo. Ila kawa na adabu sasa hivi.
Hana msimamo huyo mwanaume. Unamfukuza mke alafu unamrudisha tena....akija kukuua je
 
Si bora afe ndio wamdhulumu

Kuna watu wanadhukumiwa hapa hapa wakiwa hai

Unaandika jina la kaka au dada....akifa? Wakiachana na mwenza wake? Imeisha hiyo...... wengine mabandidu tu wanakopea na kukopa.

Ukija kushtuka nyumba yako unayoishi uliyoandika jina la dada yako kipenzi inadaiwa milioni 200!!!!

Yaan ni upuuzi wa hali ya juu mali zako andika watoto wenu au wako
 
Mkuu mimi nime move on japo sijutiii kuwa nae, aliniacha bada ya yy kupangiwa kazi serikalini Mwanza wakat mm npo Dar, so nikamkosa hivyo
Pole mkuu, ila mapenzi ya mbali yana changamoto sana, huwezi jua umeepushiwa nini. Sema Alhamdulillah maisha yasonge.
 
Mkuu unadhani kuna hali inafika ni lazima kutoa talaka?Nauliza hvyo kwa sbb kuna badhi ya dini na mila talaka ni mwiko, naniuliza inapofika kipindi ambacho hakuna anaemtaka mwenzak nini kifanyike?Au talaka ni sehem ya solution
kuliko waishie kuuana ni kheri kila mmoja akasepa kivyake.
 
Vp ikifikia ndan hakuna mtu anashida na mwenzie hasa kitandan yan mnalala kitanda kimoja lakini kila mtu yuko busy na cm yake, mnawatoto lkn hamna hisia yan mnaweza maliza hata mwezi hakuna kusemeshana hata salam na mnalala kitanda kimoja...ila matumiz jamaa anatoaa kama kawaida
Mara nyingi hiki kipindi hupita, ila jitahidi kusali sana, kufunga mara moja moja , kutoa sadaka, na kuendelea kufanya majukumu yako kama mke. Unaweza tafuta new hobby, au kutafuta short course usome ili uwe busy usimuwaze. Atarudi kwa neema za Mungu.
 
Hakimu mwenyewe yaelekea alicheka.

Haya maisha ya kusaka pesa haya yameleta ndoa za ajabu sana..

Mke na mume hawajawahi hata kupikiana chakula ama kufuliana nguo. Ila ni wanandoa wa miaka kazaa

Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani na mume hajui hata mke anapenda kupika chakula gani ila ni wanandoa wa miaka kumi

Binafsi siwezi oa mke muajiriwa kuepusha ndoa hewa za aina hizi
Never say never
 
kujifanya boya
Either ujifanye boya au kupotezea disminder, live your own life kuishi Maisha yako binafsi ndani mwili mmoja.Mwanadamu ni kiumbe asiye na tabia moja ubadilika kulingana na umri pia.Anaweza akawa mshenzi ujanani akawa malaika utu uzima, wengi ujutia maamuzi yao ya talaka baada ya mda fulani kupita.
 
Either ujifanye boya au kupotezea disminder,live your own life kuishi Maisha yako binafsi ndani mwili mmoja.Mwanadamu ni kiumbe asiye na tabia moja ubadilika kulingana na umri pia.Anaweza akawa mshenzi ujanani akawa malaika utu uzima,wengi ujutia maamuzi yao ya talaka baada ya mda fulani kupita.
Kweli kabisa, kutokuwa na expectations husaidia sana
 
Back
Top Bottom