LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
Wahindi wana ka desturi kamoja unaweza kukaona ni kakaijinga ila kanasaidia sana, wanasoma nyota zetu ili kujua kama mpo compatable or not, ili kujua kama mtaweza ishi pamoja. Ndoa mostly ni jinsi mtu anavyoweza ku tolerate tabia zako zote at all situations and stages utakazopitia.Shida ya wengi utaka KILA mtu awe kama yeye ni ngumu sababu ya malezi tofauti
Tena baadhi ya ndugu hawana maana aisee amani ipo na watawapenda wanao kama upo ondoka duniani ujue tabia za nduguzo wengi wao ni wakatili wabinafsi wanafiki kuliko, mkeo ji mkeo tu qtabaki kuwa mama wa wanao tu no matter what tena anaweza kuwa na uchungu wa Mali zako kwa kuwa anajua ni kwa ajili ya watoto wenu kwa badae ila si ndugu.. ndugu wanafamilia zao bana ama ingefaa wandikwe katika Mali za baba yao (ambae ni baba ako) na si Mali za kaka yao watafute vyao bana..Uzuri hao ndugu ndio wanakuja kuwadhulumu nyinyi wenyewe!!!!
Hello, naomba unisaidie kufanana nyota ktk mahusiano kuna Maanisha nnMkioana nyota zenu zinafanana ni ngumu talaka mtazisikia kwa wengine.Mtaishi zaidi ya ndugu plus kufanana sura.
Wanaoendelea kuandika mali zao majina ya ndugu wacha waendelee kujichanganya labda ni vile hawajawai kushuhudia yaliyowakuta ndugu, jamaa, marafiki ama majirani wakajioneaTena baadhi ya ndugu hawana maana aisee amani ipo na watawapenda wanao kama upo ondoka duniani ujue tabia za nduguzo wengi wao ni wakatili wabinafsi wanafiki kuliko,mkeo ji mkeo tu qtabaki kuwa mama wa wanao tu no matter what tena anaweza kuwa na uchungu wa Mali zako kwa kuwa anajua ni kwa ajili ya watoto wenu kwa badae ila si ndugu..ndugu wanafamilia zao bana ama ingefaa wandikwe katika Mali za baba yao (ambae ni baba ako) na si Mali za kaka yao watafute vyao bana..
Talaka inatesa sana watoto wakivurugiwa utaratibu wao wa maishanaichukia talaka
siipendi hata kidogo
ilimtesa dadangu na inaendelea kuwatesa watoto wake mpk leo(zaidi ya miaka 15)
watoto wanasoma kwa shida, wanapohitaji msaada wa ki fedha baba anasema mwambieni mama yenu,. na anaona kabisa mama hana uwezo,.
talaka ni mateso ,hasa mkiwa mmeshazaa
Ni kweli kabisa. Ni bora kuangalia maslahi ya watoto kwanza. Unakuta mna watoto, mnapeana talaka, kila mmoja anaenda kutafuta mwenza mwingine, anaanza familia nyingine tena, wewe unadthani watoto wataishi kwa amani?Talaka inatesa sana watoto wakivurugiwa utaratibu wao wa maisha
Kaka umengea pointiTena baadhi ya ndugu hawana maana aisee amani ipo na watawapenda wanao kama upo ondoka duniani ujue tabia za nduguzo wengi wao ni wakatili wabinafsi wanafiki kuliko,mkeo ji mkeo tu qtabaki kuwa mama wa wanao tu no matter what tena anaweza kuwa na uchungu wa Mali zako kwa kuwa anajua ni kwa ajili ya watoto wenu kwa badae ila si ndugu..ndugu wanafamilia zao bana ama ingefaa wandikwe katika Mali za baba yao (ambae ni baba ako) na si Mali za kaka yao watafute vyao bana..
Lazma wataishi kwa tabu, watoto wanaumia, afadhali mmoja wenu Mungu amchukue lkn sio kuachana, lkn its hard in any wayNi kweli kabisa. Ni bora kuangalia maslahi ya watoto kwanza. Unakuta mna watoto, mnapeana talaka, kila mmoja anaenda kutafuta mwenza mwingine, anaanza familia nyingine tena, wewe unadthani watoto wataishi kwa amani?
Duh! Hatarinaichukia talaka
siipendi hata kidogo
ilimtesa dadangu na inaendelea kuwatesa watoto wake mpk leo(zaidi ya miaka 15)
watoto wanasoma kwa shida, wanapohitaji msaada wa ki fedha baba anasema mwambieni mama yenu,. na anaona kabisa mama hana uwezo,.
talaka ni mateso ,hasa mkiwa mmeshazaa
Nadhani shida ilianzia hapa ".... alikua anachake na mimi nina changu ...."Mi hakikuwepo Cha kugawana coz ndo kwanza tulikuwa tuna miaka miwili na hatujawahi ishi pamoja....kwahiyo alikokuwa anaishi alikuwa na chake na ninapoishi nami Nina changu
Sawa, Haina shidaNadhani shida ilianzia hapa ".... alikua anachake na mimi nina changu ...."
1. Hivi mlikua mnaoana ili iweje ? Kama kila mtu ana chake, hamkuwahi kusoma "mume atawacha wazazi na mke atawacha wazazi nao watakua mwili mmoja ambayo ndio maana ya ndoa, sasa nyie mlikua mnaoana kama fashion au ?! Mwili mmoja gani kila mmoja ana kwake, ana chake ana mamlaka yake ?! Ebo !!
2. Bila shaka mlikua watu wa 50/50 haki sawa. Yeye chake mewe chako si ndio ? Ndoa za hivi lazima zivunjike hata zisipovunjika ni maisha ya mitifuano na minyukano ya kufa mtu.
Ndoa kudumu, tena zaidi kua tamu LAZIMA KUWE BAYANA KIONGOZI NI MUME, MAMLAKA YOTE YAKO KWA MUME na kwa UPENDO mume ajue wajibu wake kwa mke na atimize kwa upendo. Haya mambo yenu ya women empowerment, 50/50 yeye ana kwake na wewe una kwako, superwoman bla bla blah yanawatokea puani wengi.
Angalau asilimia kubwa mnaendana hii ni ngumu kuachana,pili ni lzm mfanikiwe kwenye maisha.Hello,naomba unisaidie kufanana nyota ktk mahusiano kuna Maanisha nn
Ndugu mwingine unamuona mapema kabisa unajua kabisa ikitokea ndugu yao kadondoka hapa ghafla kimoyomoyo hedeki namba moja ni flan ...yani unaona kabiss alivokuwa na wivu na ww anaona unafaidi sana hawajui mnapanga nn na ndugu yao kuhakikisha manavuka kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda nyingine kwa ajili ya future ya watoto wenu nakuhakikishia na narudia hakuna mwenye uchungu na wanao zaidi ya Mke uliyezaa nae watoto mwinginewe hakuna si ajabu hata mama ako mzazi akaungana na wanawe ambao ni ndugu zako kaka na dada zako kukandamiza na kuwanyima haki watoto wako mwenyewe uliokuwa ukitoil kwa ajili yao.NDUGU ISHI NAO KWA AKILI NI NDUGU ZAKO WEWE LAKINI SI FAMILIA YAKO FULK STOPWanaoendelea kuandika mali zao majina ya ndugu wacha waendelee kujichanganya labda ni vile hawajawai kushuhudia yaliyowakuta ndugu, jamaa, marafiki ama majirani wakajionea
This is the point ambapo ukiwaza juu ya mlezi mbadala wa watoto wenu unarudi nyuma na kusema tusameheane.Pia wapo watoto humu ambao walishuhudia wazazi wao wakipeana talaka, je maisha yalikuaje?
Muhimu kuangalia familia yake ipojeWengi ni matapeli
Upo sahihi, mwishowe watoto wanakuwa wahanga kwa mambo yasiyowahusu.Ni kweli kabisa. Ni bora kuangalia maslahi ya watoto kwanza. Unakuta mna watoto, mnapeana talaka, kila mmoja anaenda kutafuta mwenza mwingine, anaanza familia nyingine tena, wewe unadthani watoto wataishi kwa amani?