Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

USIKU HAUSHONI NGUO, ILI KUEPUKA YOTE HAYO EPUKA KUTEMBEA USIKU KAMA UNATEMBEA JITAHIDI KUWA NA PESA YA KUKUSAIDIA USAFIRI KAMA NI DHARURA CHUKUA TAHADHARI NYINGINE KAMA KUWA NA SILAHA UTAKAYOWEZA KUTUMIA VZR, KAMA VP RUDI NYUMBANI MAPEMA.
 
Si mchezo mkuu....ila sijaelewa gar ya gongolamboto halafu uwanja wa taifa au ulimaanisha uwanja wa ndege!!?bado una hofu nn!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sizani kama umeshawahi kukutana na wazee wa kazi wewe ongea tu na usije ukajifanya jeuri wataondoka nawewe watakusira utakufa kiboya..
Jamaa hakuwa na uhakika kama wazee wa kazi wameshaondoka alikua anajaribu bahati yake na kwa sababu yupo na mwanamke akajaribu kuonesha eagle ya mwanaume kimakosa.
 
Eti jamaa alisema hawezi kufa kiboya hahahaa

Sent using unknown device

Angepigwa shaba ya tako sasa si ndio uboya wenyewe huo...
Unafika sehemu unasikia harufu ya damu mbichi,harufu ya risasi alafu unashuka kwenye gari kwenda kutoa gogo barabarani kisa huwezi kufa kiboya wakati huo huna uhakika kama wazee wa kazi wameshaondoka au laah..
Bora angepiga uturn arudi alikotoka kuliko kujidai shababi kwenye kutoa gogo
 
Hivyo yule mzee alibahatisha hakuibiwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
apoo ukitaka kwanza wajae upepo unakaa sanchingdachi stance...au nekohachidachi...yani wanakua kama wanaangalia moviee....aaaaa ayo mambo yana raha yake
 
You are something else!! Yaani miaka na miaka unawashughulikia!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukatoa gogo halafu ukaingizwa gogo
Sent using unknown device
 
Ni kwamba ulikuwa na kikosi chako cha kulipa visasi au nini? Maana wengine hujui yaliyowapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka mwaka Fulani pale salenda brg nilikutana na vibaka mida ya saa mbili 2 dah walinisaula virongaronga vyangu na vinauli na mabapa nimeyaambulia
una bahati ulipona na upo kusimulia hekaya. wenzio wanatupiwa baharini.
 
Wallah u made my day[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti ww hapo nakujua na ww na ww[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…