Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Isamilo hiyo mji mwema
 
Duuuh mkuu ulitumia martial arts au combat karate?
 
Inachekesha sema ni chai ya tangawizi hi mi sinywi
 
Mkuu nimecheka sanaaaaaa utazan mazur,[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh...sikujua kama ukiwa na gari unaweza zinguliwa![emoji848][emoji848] ...sitembei usiku kamwee![emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo alikuwa anataka anataka kukula ndogo.
 
2011 natokea Buguruni naenda Yombo ya Vituka nishagonga vyombo vyangu nipo bwiii. Mida ilikuwa imeenda sana kama 6 usiku hivi. Nilipanda daladala ili nishuke pale jet ili nichukue taxi kwenda home.

Nilipopanda daladala nikakaa na usingizi ukanipitia. Konda alipofika jet katangaza wanaoshuka mimi sikusikia nilikuwa naupiga usingizi kustuka nipo uwanja wa ndege. Pale kipawa palikuwa bado hapajavunjwa. Basi na zile pombe nikaamua kurudi by foot kwenda pale jet.

Nilipofika usawa wa kipawa wakatokea jamaa kama wa3 hivi, wakiwa na visu na bisibisi wakanivamia, nikala kipigo, wakanichoma kisu mkononi na bisibisi sehemu nyingi za mwili wangu maana nilikuwa mbishi. Kustuka simu mbili aina(sio smart phone) na cash money ka 200k.

Wakaniacha pale navuja damu nikajikokota mpaka jet pale nikawakuta madereva taxi ambao walikuwa wakinijua wakanipeleka kituo cha polisi Staki shari pale ukonga na baadae kwwnda hospitali ya amana.

Yule mfunga vidonda sitamsahau. Alinifunga mabandaji makubwa. Kwa tukio lile ikawa mwisho wangu kunjywa pombe mbali na ninapoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh ....mbona safari yangu Dec kama niikache hivii??[emoji849][emoji849][emoji848][emoji848].....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Anachopaswa kuelewa ni kwamba hawa majambazi hawatumii formula moja,kuna mengine yanatoka nchi za jirani yanakuja kuteka kwetu yana mbinu zao za hatari sana,
Mimi bado sikubaliani na Mr kushuka kizembe hivyo kwa point yake kwamba yale majamaa yatamuogopa yakizani ana mguu wa kuku hapana,wale jamaa wamejizila huwa hawaogopi kufa lakini alitakiwa afikilie hata kama ana mguu wa kuku wale hawaji body to body kukushot,chuma inaagizwa kwa mbali issue ni kuwekwa on Target tu.
Majambazi wanaoteka magari,wanaovamoa bar au kwenye kumbi za starehe na bank ni mara chache sana kuua endapo utafata masharti yao kwa wakati..
Hakuna jambazi anayeingia main road kuteka akiwa na siraha za jadi tu bila chuma
Mr amshukuru Mungu wake jamaa walikua wameshasepa lakini aache kubet maisha yake akakuacha mpweke
 
Unaishi wapi mkuu...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…