Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
Mwenye blackberry ikianzia 9800 itapendeza tunaweza fanya biashara......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii chai vocha ya jero😅Hicho kama kitochi tu, kwa sasa tupo zama za simu janja (smartphones) na ndizo zinazohusika hapa.
Waptrick umenikumbusha mbali, nakumbuka shuleni 2007 nilikuwa na rafiki ni mtoto flani wa jaji ana nokia nzuri, nikimwazima simu naweka vocha ya jero hapo nashusha ngoma mbili tu,
Hakuna vifurushi enzi hizo kwenye internet unabanikwa mzima mzima na salio utaloweka. mb 1 shilingi 100 na mp3 ina mb 2 hadi 3Hii chai vocha ya jero😅
zipo mpaka phillips ila nazo kubwaMotorola waje na simu zao.
Matumizi ya simu kufanyia kazi nyingi yameongezeka sana kuliko miaka ya nyuma; sasa hivi watu hutumia simu kama Komputa kwa kufanya kazi zao mbalimbali na hii ndio imefanya screen ziwe kubwa. Kama simu yako ni ya kupiga, kutuma meseji na kusikiliza muziki, naungana na wewe kuwa unastahili screen ndogo.Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu,
Simu kuziweka mifukoni imekuwa hadi uwe na mfuko mrefu kiasi watu hulazimika kuzibeba mikononi na pindi unapotumia inakulazimu utumie mkono wa ziada ama kuishusha na kuipandisha kwa kiganja.
Hakika kwa sasa matoleo ya simu yanazidi kuongeza ukubwa na hili ni tishio kwetu tunaopenda vipotabo
SahihiTatizo la hizo samsung s series ni battery, yaani battery inakaa kidogo ndipo watu wengi wanapolalamika
Xiaomi 12Embo nipeni portable kutoka brand ya Xiaomi