mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Nimekaa nikaanza kuzikumbuka Tamthilia za zamani kwenye Tv zetu
1.Life Goes on
2.227
3.Fresh Prince of Bell Air
4.......
5........
endelea
painter of the winds
emperor of the sea
jewerly in the palace
slave hunter
zote ni korea drama
nimetazama tamthilia nyingi kutoka mataifa mbalimbali, hadi sasa nakiri kusema sijaona waandishi na waigizaji wazuri wenye hadithi nzuri za kuvutia na kusisimua kama wakorea.hadi sasa sijawahi kuboreka na tamthilia yoyote niliyoiona ya kikorea. hata wamarekani hawaingii ndani.
halafu ukitazama unajifunza mambo mengi sana kuhusu visa mikasa na historia ya taifa lao na wale jirani zao. ni class tosha.
kwa sisi tunaopenda karate kungfu,ma taichi na staili zote za kupigana kwa akili na mbinu tunakosheka sana.
Naunga mkono hoja 100%.
Mwenye kujua link ya hizi tamthilia za kikorea msaada tafadhali wakuu.
Journey to the west- ya monkey kichina
La mujer akina barbarita natamani kuiona tena enzi hzo nlikuwa o level,miaka inaenda kweli
The Promise!
Yna&Angelo
ilikuwa tamu sana wafilipino wanafuata baada ya wakorea kwa tamthilia kali